Mabalozi wetu nje ya nchi wanatuma intelijensia gani huku nyumbani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabalozi wetu nje ya nchi wanatuma intelijensia gani huku nyumbani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steve Dii, Sep 7, 2011.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Songombinde ya sakata la sarawili imeniacha nikijiuliza kama kuna mambo yoyote yale ya "kiintelinjensia" yanayotumwa na mabalozi au watumishi wa balozi zetu kutoka ng'ambo kuja huku nyumbani. Maana kuna mengi ambayo yamekuwa kero hapa nyumbani yaliyotokea nje ya nchi ambako tuna mabalozi wetu. Kuanzia mikataba mibovu ya madini, bidhaa feki, kupunjwa kwenye mauzo, n.k. n.k. Ni nini basi wanachokifanya huko ukiachilia mbali kusaidia mara moja moja Watanzania wanaopoteza maisha ughaibuni na kupokea wageni wa serikali kwenye ziara zao huko??! Or are we too intelligent to gather some intelligence overseas???

  Mbona nchi kama Marekani mabalozi, watumishi na majasusi wao wanaonekana kutuma kila kitu ambavyo vingine hata hapahapa Bongo si wenyewe hatuvijui?? Somehow I just wish hizi cables za wikileaks zingelihusu ubalozi wa serikali ya Uingereza, maana connection yao na mambo wafanyayo na viongozi wa nchi yetu ni ya kutuacha midomo wazi!!!
   
 2. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwenye mabalozi wanapelekana kiushikaji sana.Mfano nilishakutana na mtu mmjoa anatoka nje.Alipewa viza kuja Tz alipofika hapa maofisa wa Uhamiaji wakamwambia visa yaho imekosewa.Nikawauliza sasa nani anakosa mpewa visa au mtoa viza wakasema sisi hatujui huyo mgeni lazima alipe tena.Nikabisana nao sana baadae wakasema huko kwenye Ubalozi waliopo siyo maafisa wa Uhamiaji bali wamepelkwa tu hata hawana sifa za uhamiaji.Nikamwambia mgeni alipe tena.Kwa hiyo huko wanapelekana tu bila kuangalia vigezo vya nafsi husika.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  This is true, ubalozini huko wamejazana kina Malecela, Sokoine, Mongella etc na wanajeshi.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kiranga, jambo jingine ni lile la kuwa na mabalozi eti "wa kudumu"?? What the heck is this... ufalme ubalozini au ndiyo hukumu kwa familia nyingine kwamba hazitakuja ziwe na vijana wenye sifa za kuwa mabalozi??!!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimewai kuazisha thread na katika hiyo thread nikatoa comment hii

  Kwa kweli Inashangaza eti karne hii tunaona umuhimu wa kuwa na mwambata wa kijeshi Afrika kusini lakini tunshidnwa kupata akili ya kuwa na cheo kama hicho cha mwambata wa kitaalii, mwambata wa kiuchumi au biashara au mwambata kitenolojia....... L

  Labda bado tuko kwenye vita ya ukombozi
   
Loading...