Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msikiti uliojengwa miaka 1000 iliyopita wagunduliwa Imarati TEHRAN (IQNA) - Wanaakiolojia huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) wamegundua msikiti unaokadiriwa kuwa uliojengwa miaka...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Tumekuwa tukifanya sherehe za kuzali za kuzaliwa kwa mbwembe bila kuwakumbuka manesi na wakunga waliotulinda siku hiyo, Tumekuwa tukisherekea bila kutaja mkoa,wilaya au kijiji tulipozaliwa kama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa amemuoa mke wa zamani wa mtoto wa Rashidi Makoti (alimarufu saidi mapengo) amekamatwa na watu wasiojulikana juz alihamisi hapa KIBONDO WILAYANI MKOANI KIGOMA, kwamba kisa cha kukamatwa...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Vyombo vya Usalama, Wafanyabiashara, Watajwa Mtandao wa Madawa ya Kulevya Nchini July 28, 2013 Maoni 1 Jeshi la Wananchi, Polisi, Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama pamoja na baadhi ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa naomba kuuliza Kati ya bcom finance ya pale udsm na bctm ya pale chuo cha kodi hipi ni Nzuri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari, Leo majira ya saa 1 asubuhi,kumetokea tukio la kutisha baada ya tajiri kumjeruhi mlemavu walipokuwa wakigombea mpaka wa ardhi. Ugomvi huo unatokana na tajiri huyo kujenga kwenye eneo...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku napenda kuuliza ni biashara ipi ambayo bado ina wateja maana naona vijiwe vingi vimepoa kweli kweli
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
ONYESHA MAPENZI YAKO KWA TUNDU LISSU KWA KUHUDHURIA IBADA HII MAALUMU. ANGALIZO. TUNAOMBA VYOMBO VYA DORA MSIVAMIE IBADA HII.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Huku niliko hali si nzuri. Leo nimenunua mafuta ya Petrol shilingi 2550 kwa lita. Sijui huko uliko hali ikoje. Ki-ujumla mambo ni magumu zile zama za kupanda baiskeli na punda naona zinaanza kurudi.
16 Reactions
121 Replies
13K Views
Leo ikiwa ni weekend murua kabisa! yenye tabasam la kujifariji, nikiwa kama Katibu Mkuu Wa wanaume nawasogezea chimbuko llililosababisha manyang'au kuanza kula ndogo,Udunguaji au kwa majina...
14 Reactions
29 Replies
6K Views
If you want to tell your friends about your own problems, tell them. But don’t discuss what someone told you in private. Whoever hears it will lose their respect for you and will never trust you...
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Habari wana jf kuna hii picha nimeikuta kwenye mitandao japo ni ya kutengeneza la lakini nimeiwazia sana huyu jamaa alikata tama akiwa kwenye hatua za mwisho kuyafikia mafanikio na hata sisi wana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nauliza mbona vijana wote wamerudi nyumbani? Kuna nini? hakuna ajira lilikuwa danganya toto?
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Sijawahi kuwatch movies au series za kituruki lakin jana wakat na tembea hko netflix nimekutana na tamthilia ya kituruki inaitwa Winter Sun nilifanya kuangalia kama kujaribu kuangalia lakn...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Kwa wenzetu: Wachumi mtueleze is this Booming industry/bussiness Planes are ridiculously crowded these days, and a pilot explains why
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Habari wanaJF, uzi huu maalum kwa wale wapenzi wa comic movies za MARVEL na DC comics twende sawa. Mwaka 2018 Marvel wameachia movie yao inayoenda kwa jina la BLACK PANTHER ambayo mauzo yake...
5 Reactions
44 Replies
15K Views
Habari wakuu, Kuna utafiti nafanya, nahitaji kujua Tanesco wana wateja kiasi gani wa umeme. Nimejaribu kufanya research online lakini sijapata takwimu za miaka ya karibuni, nimeona takwimu za...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…