Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari humu! naombeni ufafanuzi wenu, kuna mtu kanizidishia pesa niliyopaswa kulipwa, natafakari hapa je hii ni baraka au ni kosa? maana kuna siku nilipita kanisa Fulani hivi watu walikuwa...
4 Reactions
126 Replies
10K Views
hello JF, mie naona hio sharia irekebishwe, vyama vyote viruhusiwe kufanya biashara, ili wapate income, itakayowasaidia kwenye mambo mbali mbali, kulea watu wa chama chao ambao wamelipigania...
3 Reactions
7 Replies
827 Views
Dar es Salaam. Happylight Mushi (65) mkazi wa Tabata Kisiwani jijini Dar es Salaam amekufa baada ya kujinyonga na kipande cha khanga ndani ya banda la kuku. Tukio hilo limetokea leo saa 3 asubuhi...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mtu anayedaiwa kumuua Mariam Charles (22), mwanakwaya wa Kanisa la AICT, Chang’ombe ameendelea kuwatumia ndugu wa marehemu ujumbe mfupi. Mwili wa Mariam ulikutwa kwenye nyumba ya wageni ya East...
3 Reactions
99 Replies
19K Views
Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news...
21 Reactions
289 Replies
41K Views
HILI LA ZANZIBAR HALIUNGWI MKONO “LABDA NA MWENDA WAZIMU TU” Habari za uchomaji wa makanisa Zanzibar katika vurugu za hivi karibuni haziungwi mkono kwa namna yoyote ile. Yeyote anayefanya...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF),Zachary Kakobe amewasili Uhamiaji Dar baada ya kutakiwa kuripoti katika ofisi hizo. Muendelezo/Sasisha Askofu Mkuu wa Kanisa la Full...
7 Reactions
177 Replies
23K Views
Kwanza nakupa pole kwa kuzama humu ndani.Ili uishi kwa amani humu jela inahitajika sana nguvu yaani uwe umetuna kifua au unapiga sana karate na Kung fu maana humu ndani sikufichi kuna mwamba na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu nimejuliza hayo maswali sana leo, Hivi kuna uhusiano gani kati ya hivi vitu vitatu: Ujinga, Uvivu na Umasikini. Halafu kama mtu anataka kujitoa kwenye hilo shimo lililojaa hivyo vyote...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu, hope mko fine. Leo najitokeza kwenye ukurasa huu natafuta mbinu ya kujikwamua na mfumo wa maisha usiokua na tija kwangu. Iko hivi, ninaishi mkoa ambao sio mkoa niliozaliwa, nimeoa...
9 Reactions
72 Replies
8K Views
Natumia pc yenye window 10. Huwa natumia data kutoka kwenye simu. Lakini bando linalambwa fasta kuliko kawaida. Yaan naweza nkafungua tu emails unakuta mb 500 zshaenda. Nifanyaje ili nipunguze huu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Home View web version Tuesday, April 6, 2010 Madaraka at 1:05 PM Mali za Wajerumani Kuna maeneo mengi ya Tanzania, kama hii hapa kwenye picha iliyopo karibu na kijiji cha Butiama, unapoweza kuona...
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Ni rai yangu kwa Ofisi ya Afya Manispaa ya Moshi kufanya ziara ya kutembelea mgahawa/ baa maarufu iliyoko Bondeni garage eneo la CCM Jirani kanisa na mchungaji Lazaro. Ukifika hapo kunahali mbaya...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kuanzia tarehe 06/09/2018 'salary slips' za njia ya mtandao hazipatikani, mwenye kujua tatizo na namna nyingine ya kuzipata anijulishe tafadhali.
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Surplus is not for you. Tunapotafuta na kupata, huwa ni juhudi zetu lakini ukweli ni kuwa riziki inapangwa na Mungu. Mungu anapotujalia ridhiki zetu za kila siku huwa anahakikisha zinakidhi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu. Naombeni mawazo yenu, bi mkubwa anatamani kuangalia super brand, anaipenda balaa, nalazimika ninunue hizi ving'amuzi vyenye loko chaneli. Naombeni mawazo yenu ninunue kipi ambacho hakina...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Sijui mna mkataba gani na shirika la Deutsche Welle kurusha matangazo yao ya mchana ila mnachefua sana pale kila siku inapotimia saa saba dk 15 mchana wakati uchambuzi wa habari umenoga...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Umewahi jiuliza inakuaje -watu wanaofundisha wenzao kufanikiwa, maisha yao pia bado ni ya kuunga unga tu na pengine hiyo kazi ya kumotivate watu ndo chanzo cha mkate mezani kwake? Mwalimu wa...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
Nyerereite is a very rare sodium calcium carbonate mineral with formula Na2Ca(CO3)2. It forms colorless, platey pseudohexagonal orthorhombic crystals that are typically twinned. It has a specific...
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Ndgu zangu nawasabah! Jaman ndgu nisichelewe kwenye mada,kwa takrbani siku tano nikiwa likizo Dsm nmekuwa nikitumia usafiri wa mwendo kasi ili kuwezesha kuwafikia ndugu na jamaa zangu kwa haraka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…