Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

Kitu ambacho matajiri hawatakuambia kamwe!!!

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Umewahi jiuliza inakuaje -watu wanaofundisha wenzao kufanikiwa, maisha yao pia bado ni ya kuunga unga tu na pengine hiyo kazi ya kumotivate watu ndo chanzo cha mkate mezani kwake?

Mwalimu wa marketing na ujasiliamali hana hata kiosk cha mboga mboga!!!!

Basically, wanopaswa kufundisha watu namna ya kufanikiwa ni wale ambao wameshatusua ili wanachokifundisha kiwe ni zao la practical experience na sio merely theory

Ila katu matajiri hawatokaa hata siku moja wakuambie ukweli namna ya kufanikiwa na ni jinsi gani walipata pesa maishani mwao

A matter of fact, asilimia kubwa ya watu waliotoka kimaisha kuna game chafu walizozicheza na kujikuta kwenye direction waliopo Leo, wako:

waliodhurumu
Walioiba
Walioua
Waliotoa makafara
Wanaomiliki jini chuma ulete
Waliodanga na wenye nazo kisha wakawaua wapenzi wao ili walithi mali etc


Haya mambo, hakuna tajiri atakuambia aliyafanya, lnstead atakuhimiza Fanya kazi kwa bidii na weledi.

Mdau leta uzoefu wako ktk hili
 
Fanya kazi ikitokea nafasi ya kuiba iba bila hofu
ikitokea kazi ya kudhulumu wewe fanya hivyo
ikitokea unahitajika utoe kafara wewe toa tu

ila msingi ni kufanya kazi huwezi ukatoa kafara ukalala nyumbani kisha hela zikakuangukia kama mvua ya hela
 
WEngi wanakuwa wamepitia njia ndizo sizo
 
Hata siku moja hakuna anae taka azidiwe pale alipo tajili yoyote hata kwambia ukweli yani ww usikie kuw ni tajili namba moja dunian je utakuwa tayar kuwaambia watu ulikuwaje tajili huwez hata kidogo
 
Biashara tu ukimwomba mtu akuelekeze au akuambie unafanyaje ufanikiwe anashindwa sembuse utajiri wa mtu.
Wanadamu ndivyo tulivyo.
 
Unaweza kuwa professor lakini usiwe tajiri kwasababu kuwa tajiri lazima ujitolee ndio ufanikiwe. Sio kila aliefanikiwa ametumia njia za mkato bali wametumia muda wao kuleta mafanikio kwenye maisha yao. Ukifanikiwa kuwa tajiri mambo yatakayo badilika:-
1 Marafiki
2 Kula
3 Usafiri
4 vacation zako
5 Muonekano wako
6 Makaazi yako
7 Heshima
8 Utasema hapana na ndio kwa kitu chenye manufaa nawe
9 Mke au wanawake
10 Hautakuwa na muda wa social media sana.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom