Vyama vya siasa viruhusiwe kufanya biashara

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
hello JF,

mie naona hio sharia irekebishwe, vyama vyote viruhusiwe kufanya biashara,

ili wapate income,

itakayowasaidia kwenye mambo mbali mbali,

kulea watu wa chama chao ambao wamelipigania hili taifa,(different contributions,hata kama hawakupata nafasi serikalini).

matibabu,

n.k

sio sasa hivi mtu anaona nafasi yake katika chama ni ya kufa nayo,na akitoka ugali wake ndio unakua umekwisha……………….hivyo kung'ang'ania post...

watu makini pia wanaogopa kuingia kwenye siasa maana apart from ruzuku whatelse ???.....kungekua na biashara na chama kina vyanzo dhabiti,then,ingekuwa hata easy ku recruit young and inspiring politicians...……..

sio sasa hivi kama upande wa upinzani ni the same faces years after years ni hao hao wakina Zitto….ni kwamba wamekosa stratergy ya kupata vijana wengine wachukue nafasi…..trust me vyama vikiruhusiwa kufanya biashara hali itabadilika…..
 
Sidhani kama vyama vya siasa vinazuiliwa kufanya biashara, naona hata CCM wanamiradi yao ambayo hivi karibuni tu imetoka kuhakikiwa pamoja na mali zote zinazomilikiwa na chama hicho, uhakiki uliongozwa na kamati iliyokua chini ya Katibu Mkuu wake wa sasa Dr Bashiru Ally, pengine vyama vingine havielekezi sana nguvu zao huko kwa ukosefu wa mitaji au kuona labda ruzuku inawatosheleza
 
nilishawahi kuambiwa hawaruhusiwi kufanya biashara,

...ningependa kujua hio miradi ya CCM ni ipi? na wameipataje???

ili na vyama vingine waige….

nilisoma humu ndani though,kua mali nyingi zinazoshikiliwa na CCM ni za serikali….
 
Mali nyingi za CCM ikiwemo majengo na viwanja vya michezo na maeneo ya wazi vilikua vinamilikiwa na chama hicho tangia enzi kikiwa chama pekee kilichokua kinaruhusiwa kisheria kufanya siasa nchini. Vilipokuja vyama vingi CCM haikusajiliwa upya sanjari na usajili wa vyama vingine, chenyewe usajili wake uliendelea uleule wa mwaka 1977 ingawa wazazi wake (TANU na AFRO SHIRAZI PARTY) walikua wakongwe zaidi

Sasa kama ambavyo hakikusajiliwa upya hata mali zilizokua zimeainishwa wakati wa chama kimoja kua ni za CCM nyingi zilibaki kua za chama japo kiuhalisia zilitoka serikalini na pengine zikitokana na kodi za wananchi wote
 
kwa kweli wazirudishe,,,,,,😳
,
kwani sharia inasemaje kuhusu umiliki wa mali kwa chama, na usajili wa chama?

zingekua tunaona CCM imejenga hospitali hii,chuo hiki na kadhalika…(niko mbali,sijui kama wamejenga,lol)

wao kutoonyesha collectively wanayoyafanya kutokana na kumiliki hizo mali,then inaonyesha hio miradi inanufaisha WACHACHE ….

nilitoa mada hapa nikaambiwa kwa vile wanapokea ruzuku then hawaruhusiwi kufanya biashara,hii ina act as constraints....waachiwe bana wawe na uhuru

afu tumebaki wawili tu kwenye hii thread,we might as well use PM.....LOL
 
Kumbe watu wameshalala saa hizi!
 
Sidhani kama vyama vya siasa vinazuiliwa kufanya biashara, naona hata CCM wanamiradi yao ambayo hivi karibuni tu imetoka kuhakikiwa pamoja na mali zote zinazomilikiwa na chama hicho, uhakiki uliongozwa na kamati iliyokua chini ya Katibu Mkuu wake wa sasa Dr Bashiru Ally, pengine vyama vingine havielekezi sana nguvu zao huko kwa ukosefu wa mitaji au kuona labda ruzuku inawatosheleza
Biashara kisheria za vyama vya siasa nchini na duniani kote zinamipaka yake, wanaruhusiwa kua na miradi ila kufanya biashara kama wanazofanya raia hawaruhusiwi.

Ila siungi mkono hoja hii, maana sipati picha vyama vya siasa vitakavyokua vinapigana mitama kwenye kodi, kila kukicha tutashuhudia watu wanapelekana mahakamani kwa Uhujumu Uchumi (kukwepa kodi *Tax Evasion*, Utakatishaji Wa Fedha *Money Laundering* n.k... Wataleta machafuko ya kisiasa sana [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom