Afisa afya Manispaa ya Moshi fanya Ukaguzi

kisinja

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
241
295
Ni rai yangu kwa Ofisi ya Afya Manispaa ya Moshi kufanya ziara ya kutembelea mgahawa/ baa maarufu iliyoko Bondeni garage eneo la CCM Jirani kanisa na mchungaji Lazaro. Ukifika hapo kunahali mbaya sana ya usafi kuanzia jikoni na chooni. Hakuna sababu kwa nn eneo kama lile bado linaendelea kutoa huduma ya chakula Afya ya vijana wengi wanaopata huduma pale iko hatarini sana.
Tafadhali afisa afya tembelea hapo na chukua hatua. Si sehemu salama kbsa kwa namna yyte.

Nawasihi nendeni field kuona yanayojiri kabla mkuu wa mkoa hajaenda na team yake.
 
Back
Top Bottom