Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari zenu! Yapo matukio kadhaa ambayo hukera na kuudhi sana kiasi kwamba hadi watu hutengeneza uhasama maisha yao yote; Uhasama huo unaweza ukawa we we na ndugu,mke,Mme, jilani, mfanyakazi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa Kila mmja anajua kwamba kumekua na ajali za Mara kwa Mara kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe takribani kila mwezi.Pamoja na visababishi mbalimbali yakiwemo makosa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza mambo matatu ambayo huwafanya watu kupata stress ni tamaa , Ninegundua ukiwa na miaka 30 ukawa life span yako ni miaka 90 inamaana bado miaka 60, ukiwa na 657,000,000 ukaamua kufumba macho...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Juzi nilimpeleka hospitali mtoto wa Dada angu anatumia bima ya NHIF. Nilipata vipimo vizuri sana. Leo amezidiwa muda wa jioni hivi, nimefika dirisha la bima mchezea computer ananiambia kadi...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Zahanati ya Kijiji cha Namalembo kata ya Msikisi wilaya ya Masasi inayohudumia wananchi wa vijiji vitatu haina vyoo, na hivyo wagonjwa kulazimika kujisaidia porini au kwenye choo cha kienyeji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hebu tuelezeni mbona hatujui kinachoendelea baada ya Sofia Simba kuzidiwa? NAni anaweza kuwasiliana na hospitali?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Sijui ni nani mwingine aliiona hii, ila toleo moja la wiki iliyopita la gazeti la Tanzania Daima (ambalo linamilikiwa na CHADEMA) kulikuwa na picha ya Shyrose Bhanji kwenye ukurasa wa mwisho...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania, familia zetu zinatoa wito kwa watanzania wote kuungana na kulipigania taifa letu linamalizwa na wachache, tuna muomba mungu awasaidi katika vita hivi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hukumu ilikuwa inategemewa leo asubuhi huko Bukoba, Kwa kosa la kubambikizwa.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
NAONGEA NA WEWE, WEWE UNAYEKOPESHA PESA KWA RIBA. Ni muhimu sana kwenu kulijua hili. Siku hizi kuna watu wengi wajanjajanja wamejianzishia tubiashara twa kukopesha hela kwa "riba". Au wengine hata...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Posted Date::10/12/2007 Wapinzani wamjibu Kikwete * Wasema hajajibu hoja yao ya ufisadi * Wasema hawajakamata wala kumhukumu mtu * Wamtaka aunde tume huru ya kuchunguza Na Muhibu Said...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukisikia uzembe ni huu We fikiria mzigo umetumwa toka China main land huko umekwenda mpaka singapore singapore wakausafirisha kuja Tanzania Umeingia Tanzania tarehe 3 may ukaenda mpaka posta...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
In the past fifty years, more than $1 trillion in development-related aid has been transferred from rich countries to Africa. Has this assistance improved the lives of Africans? No. In fact...
1 Reactions
1 Replies
600 Views
Miaka ya nyuma kiwanda kilikua imara na makini kila upande kilijitosheleza kwa kuwa na hospital yake, kikosi Chake cha zimamoto, shule, maduka, klabu za michezo na vikundi vya burudani Katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madada kwa makaka wanapambana kukamata magari Wakati mwingine wanabishana acha niende mimi. Hili halitoshi niko kwa lori moja dereva kashuka muda huu. Kamdada kafupi kanaangalia kulia na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi kwanini Posta wamejaa wazee tupu? Halafu ni kwanini wana ukiritimba wa parcel za watu? Utasikia njoo kesho Nenda Posta fulani mzigo wako haupo humu ukifika huku wanakwambia umefika lakini...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Napenda kuwatangazia wana Jf kilio changu chenye uchungu mwingi Wiki mbili zilizopita nimetumiwa mzigo wangu katika moja za nnchi za ulaya na rafiki yangu mzigo wenyewe ni viatu na perfume...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI 1.Usiamke mapema. 2. Usipange matumizi ya Pesa zako. 3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri. 4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi. 5...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Maana ya hizo bendera ni ipi? Mfano pale Kilimanjaro Kempiski kuna bendera za nchi chache na nyingine za kampuni husika. Kwanini wachague bendera za nchi chache tu na sio zote? Sent using Jamii...
8 Reactions
94 Replies
22K Views
Ikiwa ccm na serikali yake haitaki kutoa uraia pacha tunaomba mutupe haya kama mlivyo pendekeza kwenye rasimu yenu ya katiba. Kwa walio poteza uraia wa Tanzania au wazazi wao wana asili ya...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…