HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Wakuu leo nilimpeleka mwanangu kutibiwa mafua kwenye dhahanati moja hapa mjini sasa ile kufika tu nikaambiwa kabla ya huduma nielekee kwenye dawati moja limejitenga kufika naambiwa hapa tunatoa ushauri ili upime kuendeleza kauli mbiu ya waziri mkuu nikapewa namba nikaambiwa jiandae upime ukikutwa nao tunakuanzishia dawa wakanicheki pale sasa kabla ya majibu ule ushauri alio anza kunipa ndio ulio nitisha maana alikuwa ananieleza utazani amenikuta nao nikajifikiria Mimi kijana miaka 29 hii nikutwe na ngoma ntakuwa mwenyeji wa nani basi nikapimwa huwezi amini nikakutwa sina baada ya hapo wakanipeleka hadi kwa daktari wakamtibu mwanangu huku wengine tukiwaacha kwenye foleni yani sijaamini kama nimetoka salama maana nikikumbuka tangu nimeanza kunjunjana nimekula wanawake 13 ila nmepona