China kuimiliki Afrika yote ifikapo 2040(?)

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ifikapo 2040 taifa LA China ambalo Uchumi wake unakuwa kwa kasi kubwa sana litakuwa linaimiliki Afrika kiuchumi kutokana na mataifa mengi ya afrika yatashindwa kulipa madeni
Taifa LA China kwa sasa limeongeza ushawishi mkubwa sana kiuchumi kisiasa na hata kijamii balani afrika kupitia misaada na mikopo.leo lugha YA KICHINA inasomwa kwa kasi sana kwenye shule na vyuo mbalimbali balani afrika ikiwa na maandalizi ya kuimiliki rasmi afrika.
Maandalizi mojawapo yanayofanyika ili kuimiliki afrika
1.kuwafundisha waafrika lugha ya kichina
2.kuwapa misaada
3.kuwapa mikopo yenye masharti ambapo ukishindwa kulipa wanachukua raslimali hii imetokea zambia na sliranka.
4.Kuua viwanda vya afrika kupitia kuleta bidhaaa feki kwa bei nafuu kuliko za kwetu.
5 Kuwaleta wachina afrika kufanya biashara ndogo ndogo ambazo tungeweza kuzifanya wenyewe.
N.B MCHINA NI MKOLONI MWENYE ROHO MBAYA SANA.
 
Wachina wanachokifanya hawaangalii record za wapumbavu kina Museven au wajinga wajinga viongozi wa Africa. Hata kam unapiga wananchi wako. Unawaua mchuna hajali hakufuatilii na ndio wanachokitaka madikteta wa affika kina magu.

Ila mchina hela anyokupa anhakikidha anakuja kukushika makalio baadar kama zambia navyoshikwa kalio sasa hivi.

Tanzania tunaelekea huko huko
 
Screenshot from 2018-09-11 16-51-07.png
 
Wachina wanachokifanya hawaangalii record za wapumbavu kina Museven au wajinga wajinga viongozi wa Africa. Hata kam unapiga wananchi wako. Unawaua mchuna hajali hakufuatilii na ndio wanachokitaka madikteta wa affika kina magu.

Ila mchina hela anyokupa anhakikidha anakuja kukushika makalio baadar kama zambia navyoshikwa kalio sasa hivi.

Tanzania tunaelekea huko huko
Haaaaaaahaaa,si mchezo mchina ni mbaya sana.kariakoo anauza maua karanga.chupi
 
Hakika swala hili la china waafrica tukifanya ajizi tutapata tabu sana ! Tulichukia wakoloni wazungu na kupambana nao wakaondoka lakini hawa wachina wakitushika hatutachomoka. Mtego wa misaada ya fedha na ahadi tamu tamu twatakiwa kuukwepa haraka sana before it is too late kama wenzetu wazambia. Look at how the chinese are flocking into the continent! Na wanazaa na dada zetu kujustify undugu ! Hatari sana.
 
Nasikia washaanza na Zambia plus Kenya sijui na Ivory Cost nadhani.
Haujalipa wanachukua asset kama reli bandari uwanja wa ndege wanaoperate mpaka ela yao irudi.
Naona wanatumia triki za kizamani kwenye 21st C too late
Hawa jamaa wakichukua hawawezi kurudisha tena.hakuna nchi imeweza kutajirika kwa misaada
 
Hakika swala hili la china waafrica tukifanya ajizi tutapata tabu sana ! Tulichukia wakoloni wazungu na kupambana nao wakaondoka lakini hawa wachina wakitushika hatutachomoka. Mtego wa misaada ya fedha na ahadi tamu tamu twatakiwa kuukwepa haraka sana before it is too late kama wenzetu wazambia. Look at how the chinese are flocking into the continent! Na wanazaa na dada zetu kujustify undugu ! Hatari sana.
Kweli kabisa inabidi kuwa makini.China imetenga USD 60 billion kwa ajili ya afrika lazima wanajua itarudi vipi.
 
Ni vizuri tukawa makini,sijui kama kuna sheria zinazowadhibiti hawa wanasiasa kukopakopa. Tusije kuwaachia wajukuu zetu nchi ambazo hata kufanya maamuzi hawawezi,yani ni watumwa katika nchi yao.

Na hao wachina ni viburi kweli kuliko hata wazawa.​
 
Mimi Binafsi nawapenda :
1.Hawalazimishi mtu kuwa mtumwa
2. kuwa watumwa wanaenda peke yao
3.Hawafanyi kazi Bila mkataba mkononi
4.masharti yao lazima ulipe mpaka centi ya mwisho.
5.Hawaingilii mambo yenu kama hujala chake
6.Niwachapa kazi wazuri
7.Hawabagui hela Ndogo/kubwa

Ubaya upo kwetu ndio maana yule jamaa alichora ile kitu ya Dada poaaaaà.
 
True
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ifikapo 2040 taifa LA China ambalo Uchumi wake unakuwa kwa kasi kubwa sana litakuwa linaimiliki Afrika kiuchumi kutokana na mataifa mengi ya afrika yatashindwa kulipa madeni
Taifa LA China kwa sasa limeongeza ushawishi mkubwa sana kiuchumi kisiasa na hata kijamii balani afrika kupitia misaada na mikopo.leo lugha YA KICHINA inasomwa kwa kasi sana kwenye shule na vyuo mbalimbali balani afrika ikiwa na maandalizi ya kuimiliki rasmi afrika.
Maandalizi mojawapo yanayofanyika ili kuimiliki afrika
1.kuwafundisha waafrika lugha ya kichina
2.kuwapa misaada
3.kuwapa mikopo yenye masharti ambapo ukishindwa kulipa wanachukua raslimali hii imetokea zambia na sliranka.
4.Kuua viwanda vya afrika kupitia kuleta bidhaaa feki kwa bei nafuu kuliko za kwetu.
5 Kuwaleta wachina afrika kufanya biashara ndogo ndogo ambazo tungeweza kuzifanya wenyewe.
N.B MCHINA NI MKOLONI MWENYE ROHO MBAYA SANA.
Je, China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili itaifishe rasilimali za wadeni wake!? - JamiiForums
 
Back
Top Bottom