Tujikumbushe vituko uchaguzi uliopita

Tujikumbushe vituko uchaguzi uliopita

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Katika uchaguzi uliokuwa na vituko/vimbwenga vya kila aina, kampeni zilizojaa usanii wa kila aina, wananchi kuzimia kwenye mikutano ya kampeni basi ni ule uliopita uchaguzi wa 2015. Naomba leo tuanze kukumbushana matukio na hasa kwa njia ya video clip na picha za matukio ya kuvutia ya uchaguzi uliopita.

Wadau karibuni.
 
-ilikua hivi...
FB_IMG_1534753958612.jpg
 
Edo alipokata channel na kupitiliza jukwaa hadi jamaa wakamuwahi na kumuonyesha njia. Mwenye clip ile akiniwekea hapa nitaburudika sana.Never give up ndicho nilichojifunza
 
Mie sauti ya kile kibabu tu, hainitoki kichwani

"Anna Elisha mngwira ACT kura 20 sawa na asilimia 0.008"
"Chief lutalosa yemba ADC kura 60 sawa na asilimia 0.055"
"Dr magufuli John Joseph pombe CCM kura 3321 sawa na asilikia 30.4"
"Lowasa Ngoyai Edward CHADEMA kura 6026 sawa na asilimia 60"

Hiki kisauti kilinipa homa 2015 sitasahau!!!!
 
Mimi mke wangu aliificha kadi yake ya kura ,nilipomuuliza kulikoni akaniambia safari hii anawapigia UWT ma Raisi wao Samia Suluhu Hassan na eti kwamba kila chaguzi ni wanaume tu,ndipo na mimi nilipomwambia tutakuwa wote asihofu,basi nilipikiwa ubwabwa wa na nazi,uchaguzi uliopita ulikuwa ni kizaazaa hehehehe.
 
Back
Top Bottom