Naomba msaada kuhusu Usafiri wa kutoka Dar - Lushoto

mkananguja

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
55
Reaction score
3
Naomba msaada kwa wazoefu wa wilaya ya Lushoto mie nimechaguliwa kujiunga na advance Kwemaramba. Sasa sijui kampuni za mabasi ya kwenda Lushoto tokea Dar, mie nipo kusini mwa Tanzania na vip ni mbali sana kilometa zake au ni sawa tu na Mtwara kwetu?
 
Kama upo kusini basi Ulizia Maning nice nao wanamabus yanaenda Lushoto pia
 
Anatakiwa awahi kukata tikiti mapema kama anataka siti za dirishani.Sijawahi ona watu wapenda siti za dirishani kama watu wa Tanga.
Hahahaaa mkuu umenichekesha mnoo npo hapa Lushoto mjini nachuku vitafunwa.
 
Burdan , shambalai ,hg, meaning nice. Ila upande LA sakumi nambili ili ufike mapema uwahi nagari yanayo panda huko shuleni kwako
 
Keibu Lushoto kaya osie kwa wau wangu haja heitangwa "Mlalo" (sitaki uniombe tafsiri)😂😂😂Kama unatokea Kusini, Panda gari za Mtwara-Tanga (kama hutojali) jiandae na kama Tsh.35000 shukia sehemu inaitwa segera (njia panda) hapo utapata gari nyingi za kwenda Lushoto...au unaweza toka huko uliko Hadi Dar then (uende Ubungo coz gari nyingi za Kusini mara nyinyi huishia Temeke au Mbagala) so ukifika Ubungo panda gari za Lushoto moja kwa moja nauli si chini ya 15000(hapo kuna Shambalai, Maning Nice, HG, Burdan na Mabasi mengineyo)...mwisho nikutakie safari njema!!
 
Yaani safari ndefu mabasi kibao stendi kibao hivi mamlaka ya Anga hawawezi rasmisha usafiri wa kutumia Ungo ukaruhusiwa kibiashara? Huyo angeruka nao toka alipo na kutua shuleni ndani ya muda mfupi tu.Tanga fungueni kiwanda cha nyungo za kurukia hewani.Mwaeza kuwazidi kiwanda cha BOEING kwa mauzo
 
Shunie njoo huku kuna mgeni, mgeni njoo mwenyej apone, mimi mwishowangu magamba na lushoto mjin. Ila hayo mashambalai na burdani kua makin kwenye kuchagua mana yapo mazur na makuukuu, kuna mengne yanaingza vumbi hata mpk kwenye rami, unafka huko kwemaramba kwenye paji la uso unaweza ukachora "A" ikaonekana bla shda, wana makonda wana sura chafu, ukimpa nauli baadae ukimuulizia chench, Ile unamuita akigeuka ukimwangalia usoni kama upo soft soft we mwenyewe waweza umwambie " samahan konda/baba hv unanidai sh ngap"?
 
Naomba msaada kwa wazoefu wa wilaya ya Lushoto mie nimechaguliwa kujiunga na advance Kwemaramba. Sasa sijui kampuni za mabasi ya kwenda Lushoto tokea Dar, mie nipo kusini mwa Tanzania na vip ni mbali sana kilometa zake au ni sawa tu na Mtwara kwetu?
nenda mbagala rangi3
 
Ukifika kona za Mombo kupandisha usambaani ukisikia "Rambo" usishtuke ndugu yangu 😂😂😂
 
Keibu Lushoto kaya osie kwa wau wangu haja heitangwa "Mlalo" (sitaki uniombe tafsiri)😂😂😂Kama unatokea Kusini, Panda gari za Mtwara-Tanga (kama hutojali) jiandae na kama Tsh.35000 shukia sehemu inaitwa segera (njia panda) hapo utapata gari nyingi za kwenda Lushoto...au unaweza toka huko uliko Hadi Dar then (uende Ubungo coz gari nyingi za Kusini mara nyinyi huishia Temeke au Mbagala) so ukifika Ubungo panda gari za Lushoto moja kwa moja nauli si chini ya 15000(hapo kuna Shambalai, Maning Nice, HG, Burdan na Mabasi mengineyo)...mwisho nikutakie safari njema!!
Osie kumbe iwe ni mshambaa,mbona ukunda jina ja kizungu Louis II😂😂
 
Back
Top Bottom