Tigo huduma zenu na gharama tofauti

Tigo huduma zenu na gharama tofauti

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,679
Reaction score
5,165
Yaani hakuna mtandao wa unaoiba pesa za watu kama tigo, juzi nimeweka 500 nilikuwa naangalia wanavyokata hivyo mpaka imeisha, huduma za tigopesa gharama IPO huu, mikopo yenu inagharama Sana riba asilimia 11% ni kubwa mnoo.

Mb ndiyo kabisa yaani mnaboa and soon I will be out of services.
 
wezi sana tigo
na ww uliiweka kwa ajili ya kuangalia wanavyoiba hiyo 500?
 
Kwenye voice calls wanazingua mno. Yaani kumpigia mtu mkashindwa kuelewana ni jambo la kawaida na sijui kwa nini hawaliangalii hili. Mtu anakupigia unaongea sekunde tano halafu humsikii tena. Ukiangalia wao wameshachukua chao.

Rekebisheni hili tatizo!!
 
Tigo mimi.najua ni kitu kingine kabisa kumbe ni simu
 
Me niliwakopa laki tano na siwalipi tena hao wezi
 
Back
Top Bottom