Funga ya ashuraa

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,898
3,006
Assalaam Alaykum
Kwa siku ya leo,wapo miongoni mwetu,walio anza Ibada ya Funga,na wengine wata anza kesho in sha Allah

Kama tulivyosema hapo mwanzo(Japo uzi ulifutwa)
Funga hii ya Ashuraa,ina taratibu na mifumo mikuu minne(4)
MFUMO WA KWANZA
ni kufunga siku ya tisa,kumi na kumi na moja
MFUMO WA PILI
ni kufunga siku ya tisa na siku ya kumi

MFUMO WA TATU
ni kufunga siku ya kumi na siku ya kumi na moja

MFUMO WA NNE
ni kufunga siku ya kumi tu
na hili linachukizo kwa mujibu wa Dalili sahihi na mbele ya weengi wa Wanachuoni

Kadhalika katika kujifunza mambo mbalimbali
Kuna nguzo kuu tatu katika kufanikiwa kimaisha na kuwa na amani
1)SUBRA,
uvumilivu na subira,ni nguzo mama katika maisha ya kila mwana adam
2)FUNGA,
Funga,ni kujizuia kula,kunywa na matamanio ya nafsi kwa kutaka radhi za Mola wako,kuanzia kuchomoza kwa jua mpaka kuzama kwake,hili nalo,ni lazima liambatane na SUBRA,kadhalika,kuwaweka watu sawa na kuonja machungu ya njaa na kiu kwa alie nacho na asie nacho
3)KUSAMEHE,
Hii nayo ni nguzo muhimu sana na muhimu wa amani ndani ya nafsi,Kusamehe kwa aliekukosea,kuna taka pia SUBIRA na uvumilivu wa hali ya juu,hususan,ikiwa yuke unaemsamehe,una uwezo wa kumuadhibu au kumuwajibisha

Kwa haya machache
Nawatakia siku njema
Allah awe pamoja nanyi katika mambo yenu yote
 
Dah nikadhani unaongelea Ashura alivyofungasha wowowo, hahaha
 
Yaa akhy Abuu Dharr shima alaykum shima alaykum, alaykum ya akhy naona fursa ya dhahabu kutoka kwa madame imekuangukia, shima alaykum.
 
Back
Top Bottom