Tafakuri

Tafakuri

a45

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
1,455
Reaction score
1,606
Tufanye tafakuri kidogo kwa jambo ambalo lilikua hot kwa miezi kadhaa siku za nyuma nadhani kuanzia mwaka 2016 hadi katikati mwa mwaka 2018 hili sio swala jingine Bali ni swala LA maiti za watu kukutwa wametupwa wakiwa ndani ya sandalus je ? Tuseme serikali ime-improve katika maswala ya kiraia ???

au tuseme genge lililokua linahusika limesambalitwa ???

Au tuseme wale jamaa wahusika WA hii issue wamepumzika wanatulia timing ??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia wametambua janja yao..sshv watakuwa wanafukia maporini

Ugiligili
 
  • Thanks
Reactions: a45
Kweli kwamba wahusika WA Yale matukio kweli hawaeleweki
 
Kipindi hiko waziri WA mambo ya ndani alikua Ndugu mwiguru nchemba kwa maana nyingine mwiguru alikua failure kwenye haya mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom