mansolata
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 502
- 319
Habari wana jf
ANGALIZO USIKURUPUKE KWENYE UZI HUU,,,,,,kama unaupeo mdogo wa kufikiri usijiangaishe
Mheshimiwa M/kiti hongera sana kwakua mikakati yako imefaulu kwa asilimia 88℅
Hakuna tena fyokofyoko Kimya!
Wale power comvicer woote ni thooflhal!...waliopo wameufyata..mithili ya mbwa koko.....hongera umefanya uma wao ukate tamaa . Fanya utakavyo mkuu [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] kocha ni wewe Refa niwewe ,mchezaji ni wewe.
Mkuu alie shauri mbinu hii usimtupe mpe kofia atupenyingine ya kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja....ajira kwa vitukuu vyetu...nk
Lakini hakuna Yanga bora bila Simba bora...kuishusha daraja timu moja ni kushusha hari na hadhi ya kijiji chetu katika soka..[emoji41] nakuona hapo unavyoshangilia ushindi...mmmmh! lakini mbona umepooza ushindi huu ...tia ndimu kidogo ichachue,,[emoji36] ,,yaweza saidia.
Mkuu wanadai wanachezewa rafu...wanadai ile kadi nyekundu so halali...wanadai ile si penati......dah! M/kiti usipuuze hoja zao.....mashabiki wakichoka uonevu yaweza kuja maafa....[emoji97]
Teh! Teh! Teh! iledhana ya mpira ni burudani burudani iko wapi sasa ....no fair play[emoji30]