Mchango watangazaji RTD ni wa kutukuka

N

Nsimbi

JF-Expert Member
1,084
2,000
Radio Tanzania Dar Es Salaam ( RTD), mama wa tbc ndio redio kongwe nchini.

Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru.

Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa RTD.

Radio hii imesaidia sana kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.

Imesaidia kuwaelimisha Watanzania katika mambo ya siasa, uchumi, historia, afya na michezo.

RTD imesaidia kuliunganisha taifa hili linaloundwa na watu toka makabila mengi.

Redio hii imekuwa mwalimu kwa wananchi wote toka siku nyingi. Elimu hii ilipitishwa kupitia watangazaji wake mahiri ambao hakika tutawaenzi daima.

Tunawamiss sana Julius Nyaisanga RIP, Halima Mchuka, Bati Kombwa, Sara Dumba, Paul Sozigwa, Abdallah Mlawa, Khalid Ponera, Thecla Gumbo, Mshindo Mkeyenge na wengine.

Tunauenzi pia mchango wa Halima Kihemba, Betty Mkwassa, Abdallah Majura, Charles Hillary, TIDO MUHANDO, Pascal Mayalla, Eda Sanga, Nswima Ernest, Jacob Tesha, Mikidadi Mahmoud, DAVID WAKATI, BEN KIKO na nk.

Pia wapo Yusuf Omar Chunda, Ahmed na Sango Kipozi, Abisai Stephen, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Suleiman Hega, Hamza Kasongo, Idrissa Sadalla na Suzanne Mongi.

Tunawamiss pia Vick Ntetema, Deborah Mwenda , Alecia Maneno, Sekion Kitojo, Ana Kidela, Suleiman Kumchaya, Mohamed Kisengo, Sued Mwinyi, Juma Nkamia na wengine wengi kama Shaban Kissu ambaye pia ni mtangazaji makini.

Sifa kwao pia ambao labda nimewasahau. Watangazaji hawa nawaita kama ni "unsung heroes". Wametoa mchango mkubwa sana kwa nchi hii ingawa walikuwa wakilipwa mishahara midogo sana.

Wamekuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kiwango cha juu kabisa. Nchi iwaenzi watangazaji hawa ambao ndio walikuwa chachu ya kukuza umoja, uzalendo, mshikamano na maendeleo ya Tanzania.
 
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
961
1,000

Hawana lolote zaidi ya propaganda za fijanii I dare nikiwa Rais nitakuja kukifuta hicho
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
36,755

Samahani hivi ni Tido Muhando au ni Tido Mhando? Nitashukuru nikipewa ufafanuzi wa haya majina mawili tafadhali.
 
busiba

busiba

JF-Expert Member
283
250
Masoud wa Masoud,Mbazigwa Hassan,Shakiru makosa aaa safi.

Hii taasisi ipunguze tu uchama,waachiwe uhuru kazi hiyo.
 
Ramo

Ramo

JF-Expert Member
989
1,000
Sasa kuna damu changa akina ENOCK BWIGANE Na wengineo
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
13,202
2,000
Tunawamiss sana
Julius Nyaisanga RIP,​
Halima Mchuka,​
Bati Kombwa,​
Sara Dumba,​
Paul Sozigwa, RIP
Abdallah Mlawa,​
Khalid Ponera,​
Thecla Gumbo,​
Mshindo Mkeyenge.​

Tunauenzi pia mchango wa
Halima Kihemba,​
Betty Mkwassa,​
Abdallah Majura,​
Charles Hillary,​
Tido Mhando,​
Pascal Mayalla,
Eda Sanga, (huwa namwona Mlimani TV kwenye kipindi cha jifunze English
Nswima Ernest,​
Jacob Tesha,​
Mikidadi Mahmoud,​
David Wakati (RIP) Kipindi cha Nipe Habari
Ben Kiko.(RIP)

Pia wapo
Yusuf Omar Chunda,​
Ahmed Sango Kipozi,​
Abisai Stephen,​
Ahmed Jongo,​
Salim Mbonde,​
Suleiman Hega,​
Hamza Kasongo,​
Idrissa Sadalla​
Suzanne Mongi.​

Tunawamiss pia
Vick Ntetema,​
Deborah Mwenda ,​
Alecia Maneno,​
Sekion Kitojo,​
Ana Kidela,​
Suleiman Kumchaya,​
Mohamed Kisengo,​
Sued Mwinyi,​
Juma Nkamia (rubbish)​
Shaban Kissu .​

Hujamtaja Christine Chakunegela (usomaji wake taarifa ya habari saa nne usiku ilikuwa kama vile ni software, hakuna kigugumizi wala kurudiarudia maneno)

Hebu tujuze kila mmoja alipo sasa, maana hawa watangazaji walikuwa na kiswahili kilichotukuka kisicho na doa

Pascal Mayalla, alitokea RTD!
Ingependea awe anatumegea siri ya nini walikuwa wanafanya mpaka kuwa kivutio sana kwenye ubora wa lugha ya Kiswahili
Pascal Mayalla

Juma Nkamia (rubbish)
Huyu ametukuka kwako mleta mada
 
S

Septemba11

JF-Expert Member
605
500
Radio Tanzania Dar es salaam those days bwna when i was young kijijini kuleee aiseee Luhwaji, af 12:30 tunajiunga na kanda ya kati Dodoma, SAA 1: sauti ya mapinduzi Znz, missing those days aiseee!

Ezekiel Malongo,Christine chokunoghwela, restuta bukoli,Esto Msanga, mayoka, daaah uzi mtamu SNA huu!
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
8,088
2,000
Nampenda sana Bi Deborah Mwenda na hadithi zake za zimwi kila mwisho wa juma ktk kipindi cha watoto.

Nakumbuka 'chei chei shangazi ..'
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
7,137
2,000
RTD ndio nilianza kuusikiliza mwimbo wa 5 O'clock in the morning whatch gonna be around the Conner ulikua unapigwa kila siku alfajiri nikitaka kuamka kwenda shule hao wengi wao walikua vichwa sana...matangazo ya mpira unamkuta Domic Chirambo wa Mwanza alikua anatangaza list ya Pamba wana kawe kawe kwa kuangalia wanaochukua mazoezi wakipasha tu mpaka Sub...
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
11,107
2,000
Radio Tanzania Dar Es Salaam ( RTD), mama wa tbc ndio redio kongwe nchini.

Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru.

Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa RTD.

Radio hii imesaidia sana kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.

Imesaidia kuwaelimisha Watanzania katika mambo ya siasa, uchumi, historia, afya na michezo.

RTD imesaidia kuliunganisha taifa hili linaloundwa na watu toka makabila mengi.

Redio hii imekuwa mwalimu kwa wananchi wote toka siku nyingi. Elimu hii ilipitishwa kupitia watangazaji wake mahiri ambao hakika tutawaenzi daima.

Tunawamiss sana Julius Nyaisanga RIP, Halima Mchuka, Bati Kombwa, Sara Dumba, Paul Sozigwa, Abdallah Mlawa, Khalid Ponera, Thecla Gumbo, Mshindo Mkeyenge na wengine.

Tunauenzi pia mchango wa Halima Kihemba, Betty Mkwassa, Abdallah Majura, Charles Hillary, TIDO MUHANDO, Pascal Mayalla, Eda Sanga, Nswima Ernest, Jacob Tesha, Mikidadi Mahmoud, DAVID WAKATI, BEN KIKO na nk.

Pia wapo Yusuf Omar Chunda, Ahmed na Sango Kipozi, Abisai Stephen, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Suleiman Hega, Hamza Kasongo, Idrissa Sadalla na Suzanne Mongi.

Tunawamiss pia Vick Ntetema, Deborah Mwenda , Alecia Maneno, Sekion Kitojo, Ana Kidela, Suleiman Kumchaya, Mohamed Kisengo, Sued Mwinyi, Juma Nkamia na wengine wengi kama Shaban Kissu ambaye pia ni mtangazaji makini.

Sifa kwao pia ambao labda nimewasahau. Watangazaji hawa nawaita kama ni "unsung heroes". Wametoa mchango mkubwa sana kwa nchi hii ingawa walikuwa wakilipwa mishahara midogo sana.

Wamekuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kiwango cha juu kabisa. Nchi iwaenzi watangazaji hawa ambao ndio walikuwa chachu ya kukuza umoja, uzalendo, mshikamano na maendeleo ya Tanzania.
Utakuwa humtendei haki Dominick Chilambo wa RTD Mwanza na mmoja wa manguli wa kutangaza mpira kutokea uwanja wa CCM Kirumba..

Vinginevyo orodha imetimia.
 
W

Wa ishinde

Member
9
45
Michael Katembo alikuwa kiboko na utani wake kwa makabila,,siku moja alicheza ngoma ya Kichaga kabla haijaisha vizuri akawafukuza eti hawajui kucheza wawahi wakafungue maduka huko wawaachie ngoma Wamakonde na wenyewe kabla ngoja haijaisha akawatanai eti amechovya tonge moja la ugali mwenye mboga likapanda na mguu wa chura...basi tuu ulikuwa ni burdani kile kipindi chake...kama kuna watu mapengo hayazibiki basi na huyu kipindi chake kimekosa MTU wa kuziba kiukweli
 
Forum statistics

Threads
1,424,900

Messages
35,075,540

Members
538,137
Top Bottom