Maisha hayana formula

Maisha hayana formula

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Wakubwa babar zenu

Short story..

Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga mbele

Baada ya Muda mrefu kupita nikapata kazi sekta binafsi Baadae nikaaacha Baada ya kupata kweny maslai zaid

Sehemu niliyo ipata walikuwa wananilipa vizur sana.. Shemej yenu alikuwa anapewa anachotaka.

Maisha kwa ujumla yalikuwa Mazur.. Kumpa mtu elffu kumi mpaka laki Kwang ilikuwa Kitu cha kawaida..

Familia nilisaidia Kadri nilivyoweza, hasa wadogo na mzazi wangu..

Baadae kampun niliyo ajiriwa ikaja kufungwa na serikali na wale wazungu wakalud kwao

Aisee hapa nilipo Nina miez 9 Niko home nasaka job.. Girlfriend wangu akasepa hanitak tena

Nimekuwa mtu mweny mawazo sana.. Nakosa Ata pesa ya bando.. Kwa kifup apa nilipo Nina buku Tatu...tu..

Nina mengi ya kusema naona Ninyamaze... Kuna watu Wanamatizo zaidi yangu

Walimwengu walisema cha msingi uzima.

LAKINI

Maisha hayana formula JAMANI....
 
Maisha ambayo unayaishi kulingana na mapenzi ya MUNGU lazima yawe na mpangilio. Lakini kama unaishi kwa taratibu na miongozi ya binadamu kamwe huwez kuwa na mpangilio.
Na uongo mkubwa kuliko wote ni kuamini pesa ni suluhisho la matatizo yako.

Amini nakuambia mkimbilie Bwana Yesu na yeye atakupitisha njia iendayo mahali salama.
 
Sawa mkuu nimekusoma
 
Tatizo lingine umeendekeza Sana MAPENZI huenda hapo huwa unakosea.badili tabia kwanza uende mbinguni mengine yatafuata
 
Wakubwa babar zenu

Short story..

Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga mbele

Baada ya Muda mrefu kupita nikapata kazi sekta binafsi Baadae nikaaacha Baada ya kupata kweny maslai zaid

Sehemu niliyo ipata walikuwa wananilipa vizur sana.. Shemej yenu alikuwa anapewa anachotaka.

Maisha kwa ujumla yalikuwa Mazur.. Kumpa mtu elffu kumi mpaka laki Kwang ilikuwa Kitu cha kawaida..

Familia nilisaidia Kadri nilivyoweza, hasa wadogo na mzazi wangu..

Baadae kampun niliyo ajiriwa ikaja kufungwa na serikali na wale wazungu wakalud kwao

Aisee hapa nilipo Nina miez 9 Niko home nasaka job.. Girlfriend wangu akasepa hanitak tena

Nimekuwa mtu mweny mawazo sana.. Nakosa Ata pesa ya bando.. Kwa kifup apa nilipo Nina buku Tatu...tu..

Nina mengi ya kusema naona Ninyamaze... Kuna watu Wanamatizo zaidi yangu

Walimwengu walisema cha msingi uzima.

LAKINI

Maisha hayana formula JAMANI....
Ulikuwa hu_save pesa yoyote kwenye mshahara wako??
 
inamana hufufungua hata kamradi ka kuuza karanga??
 
Kunachakujifunza hapa ila jaribu kurudi kule uliko acha kazi mwanzo wanaweza kukupa shavu kama bado wanauhitaji
 
Maisha ambayo unayaishi kulingana na mapenzi ya MUNGU lazima yawe na mpangilio. Lakini kama unaishi kwa taratibu na miongozi ya binadamu kamwe huwez kuwa na mpangilio.
Na uongo mkubwa kuliko wote ni kuamini pesa ni suluhisho la matatizo yako.

Amini nakuambia mkimbilie Bwana Yesu na yeye atakupitisha njia iendayo mahali salama.
Wazo zuri ana ila haujajua kama jamaa naye yuko kwa Yesu anagonga ili afunguliwe lakini kumbukq na kwa Yesu unahitaji uvumilivu kiasi
 
Wazungu gani mkuu walirudi kwao au wale wa acacia?

Pambana boy utainuka tena ila kama unatabia za kuhonga na kutapanya pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom