Mwanzo uliitwa peking kipindi ukiwa umejengwa hovyo hovyo kama Dar , baada ya kuupangilia vizuri sasa unaitwa Beijing, vipi jiji chafu la DAR baada ya serikali kugoma kuhamia Dodoma hawana mpango...
Najaribu tu kuwaza kama wanashughulikiwa watendaji wa kivuko, ikiwa inasadikika ajali ilisababishwa na kubeba abiria kupita uwezo wake, je? pesa ya abiria walokua wanazidi ilikua inaenda wapiii...
Nimeshtushwa sana kwa kinachoendelea ndani ya yard iliyopo mwananyamala mkabala na Mortuary.kuna kampuni nadhani imepewa tenda ya kukamata magari katika wilaya ya kinondoni yaliyo wrong parking...
Kwa kuwa maisha yenu mara nyingi mnatembea na vyombo vya majini
Sio dhambi mkaenda dukani na kununua makoti ya kuogelea mkawa mna vaa mnapoingia ndani ya chombo ukishuka unalivua unaendelea na...
Kwa sasa wahariri wengi wa vyombo vya habari hasa magazeti, wapo mifukoni mwa mafisadi.
Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana...
Uhai ni hali ya kuweza kupumua, kula, kujongea, kuhisi, kukua, kuzaliana nk, endapo kiumbe kikikosa vyote au baadhi ya hivyo vitu kina kosa sifa ya uhai!
Ili kitu kiweze kuitwa kiumbe ni lazima...
Hebu tujiulize kwa pamoja. Inakuaje wagonjwa wenye uwezo wa kutibiwa na wakapona na kuendelea na maisha yao, wanaachwa wanakufa kisa hawana uwezo wa kulipia gharama za matibabu?
Kwanini kuwe na...
Wadau nimepata habari mwanasheria Mwale maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa kesi za robbery anashikiliwa na polisi mkoani Arusha kwa siku ya tatu leo bila dhamana akihojiwa na maafisa...
Mheshimiwa Rais, Shkamoo.
Pole na majukumu, lakini pole pia kwa msiba mzito uliotuchukulia ndugu zetu zaidi ya mia mbili.
Ndugu Rais, natambua una uchungu na hamu ya kuinyanyua nchi yetu iende...
Watu kadhaa wamenusurika vifo kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mwanga kwa kuyahusisha mabasi mawili ya kampuni ya Dar Express na Esther Luxury Coach kugongana.
Ajali hii namna ilivyotokea ni...
Hii nimeipata from mwanza fundi mkuu ameokolewa na amekutwa kapaka oil mwilini...sijajua oil imemsaidia VP kukaa majini siku mbili...wataalamu nipeni elimu
MHANDISI Mkuu wa Kivuko cha MV Nyerere, Alphonce Charahani, ambaye aliokolewa saa 42 tangu kupinduka kwa kivuko hicho, amewekwa chini ya ulinzi kutokana na agizo la Rais Dk. John Magufuli...
Ndugu zangu wanajamvi, nimekuwa napigiwa simu na namba tajwa 0901655670 ambayo kwangu naona ni karaha kwa sababu ujumbe ninaopewa siyo sehemu ya mahitaji kwenye yangu, ninaamini tupo wengu humu...
Tangu utotoni, Trump alikuwa mtundu na wazazi wake walimpeleka shule ya msingi iliyofadhiliwa na jeshi mjini New York.
Baadaye alifuzu kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania, kitivo cha elimu ya...
Namsikia Mh.Waziri wa afya akijinasibu bajeti ununuzi madawa imeongezeka sana akimsifia sana JPM karibu 300B,Tzs Ni jambo jema ila maisha halisi!?!
Agizo la kufungua maduka MSD bado...
Habari zenu ndugu zangu, ninatamani kujua hatua mbali mbali za kuzifuata ili uuziwe kiwanja ama nyumba kiuhalali bila ya kutapeliwa...
Tunajua ni nyumba nyingi na viwanja vingi hapa Tanzania...
[emoji736] Kwa mtu mwenye akili timamu na anayejitambua 100%,
Mwenye hekima busara atakuwa amemuelewa MHE RAIS hotuba ya jana nini alichokuwa akizungumza
[emoji736] Kwa biashara ya Madini ya...
Baada ya kusomewa upya mashtaka yao, Jaji Isa Maige wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha, aliahirisha kesi hiyo jana, hadi Msajili wa Mahakama hiyo atakapoipangia tarehe nyingine.
Wakili wa Serikali...