Lawyer Mwale ashikiliwa na polisi Arusha kwa wizi wa mabilioni serikalini

mkandarasi

Member
Sep 16, 2010
22
11
Wadau nimepata habari mwanasheria Mwale maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa kesi za robbery anashikiliwa na polisi mkoani Arusha kwa siku ya tatu leo bila dhamana akihojiwa na maafisa kutoka Dar es salaam kwa tuhuma za wizi wa fedha za wizara ya afya zaidi ya bilioni sita. Ninaambiwa pia kuwa leo IGP Said Mwema nae yuko kituo cha polisi Arusha kwa ajili hiyo. Jamani mwenye kuweza kutupa data zaidi, tujuze tafadhali

Mmmmmh!..

Mkuu nabrash viatu karibu kabisa na ofisi ya huyu jamaa,..ni machachari kweli *2,....anabadilisha magari ya kifahari kama nini vile i.e leo range,kesho prado mara sijui,....aaaah!..sio vibaya kufanya hivyo na wala sio dhambi kuwa tajiri kwani ni matokeo ya juhudi ya mtu ila vi2 vingine watu tunahoji maake haviendani na shughuli yenyewe,...anyway inawezekana ni kweli maake jana mwanasheria mwingine maarufu hapa arusha by the name ojare alikua hapo kwa mwale,..nimemuona akikuna kichwa hapo nje_ni rafiki yake sana.

Anyway ngoja nipate story kutoka ndani ya jeshi la polisi hapa arusha central,..ntawajuza dk si nyingi zijazo kitu na box kama kweli yupo hapo,....nimpigie andengenye atujuze wana jamvi

still puzzle,................................i will be back

Wadau nimepata habari mwanasheria Mwale maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa kesi za robbery anashikiliwa na polisi mkoani Arusha kwa siku ya tatu leo bila dhamana akihojiwa na maafisa kutoka Dar es salaam kwa tuhuma za wizi wa fedha za wizara ya afya zaidi ya bilioni sita. Ninaambiwa pia kuwa leo IGP Said Mwema nae yuko kituo cha polisi Arusha kwa ajili hiyo. Jamani mwenye kuweza kutupa data zaidi, tujuze tafadhali

Wana JF,
Me sishangai sana kwani hao mawakili wa Arusha ndio mawakili wenye kupenda dili sana

Mawalla Paul Nyaga Mbona hawajamkamata kwa kuuwarubuni wananchi wa Meatu aridhi yao wanaichukuwa aridhi bila kuwambia wananchi ukweli mpaka leo wakuwapi au kuna maendeleo gani ya maeneo au aridhi hiyo kuporwa na kupewa wazungu? Mawalla ni mwizi mkubwa wa aridhi ya watanzania Rai ya last week haikukosea Nyaga alitumia magazeti sana mwanzoni kujitangaza na sasa magazeti yana mrudi

My Take;
Wanasheria wote muwe makini esp wale wanao jikita kwenye maswala ya aridhi kwa kujinufaisha wao, Mawalla na wenzako days are numbered nchi inabadilika wale wote walio tusaliti kiama kinakuja kwa kasi?

Wizara ya afya na wakili wa kujitegemea wapi na wapi? Hebu mtujuze vizuri.

Wadau nimepata habari mwanasheria Mwale maarufu sana mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa kesi za robbery anashikiliwa na polisi mkoani Arusha kwa siku ya tatu leo bila dhamana akihojiwa na maafisa kutoka Dar es salaam kwa tuhuma za wizi wa fedha za wizara ya afya zaidi ya bilioni sita. Ninaambiwa pia kuwa leo IGP Said Mwema nae yuko kituo cha polisi Arusha kwa ajili hiyo. Jamani mwenye kuweza kutupa data zaidi, tujuze tafadhali
Du Bongo bana kila mtu mwizi ,lofa mwizi,msomi mwizi,tajiri mwizi,makanisani wizi,misikitini wizi ,mitaani wizi,serikalini wizi ,JESHINI ndio usiseme,polisi vivyo hivyo,mahakamani,balaa na bungeni loo ndio hakukamatiki kwa hao waheshimiwa sana kwa vi EPA ni nambari wani eeh na kule kwenye chama cha wavua magamba ndio loo kunatisha kama tsunami ,sasa nji hii ataiokoa nani ,nani atavaa viatu vya KAMBARAGE jamani ,wanafunzi wake nao ndio wamefungulia gavana,wanasheria ndio kabisaa kwa tamaa za utajiri na mikataba au hoja za hovyo .Ah navunjika moyo kila mtu anaiba kuiba.Nakumbuka school mate waiwili ni wanasheria ni matajiri wa kutisha kwa ajili ya kujihusisha na dili za EPA ,cha ajabu hizo dili zinawaumiza wabongo wenzao wakati wenyewe wako majuu wakijipumzisha wakila bata kiulaini

Ni kweli jamaa yuko ndani leo siku ya tatu lakini sijapata full story kuwa ni nini hasa kinaendelea. Ni kweli anahojiwa na makachero kutoka Dar. Malipo ni hapa hapa duniani kila chenye mwanzo basi kina mwisho

Mfianchi unahisi tatizo la wote la owte kuwa hivi ni nini??
Na nini soln ya hawa kuacha hayo wanayofanya unajua unaweza kuongelea matatizo ya mtuukaja kujikuta na wewe kutumbukia humo lakini ukijua soln kwa nini wako vile unapata msaada hata ukiona dili la kishenzi unalikimbia

Wana JF,
Me sishangai sana kwani hao mawakili wa Arusha ndio mawakili wenye kupenda dili sana

Mawalla Paul Nyaga Mbona hawajamkamata kwa kuuwarubuni wananchi wa Meatu aridhi yao wanaichukuwa aridhi bila kuwambia wananchi ukweli mpaka leo wakuwapi au kuna maendeleo gani ya maeneo au aridhi hiyo kuporwa na kupewa wazungu? Mawalla ni mwizi mkubwa wa aridhi ya watanzania Rai ya last week haikukosea Nyaga alitumia magazeti sana mwanzoni kujitangaza na sasa magazeti yana mrudi

My Take;
Wanasheria wote muwe makini esp wale wanao jikita kwenye maswala ya aridhi kwa kujinufaisha wao, Mawalla na wenzako days are numbered nchi inabadilika wale wote walio tusaliti kiama kinakuja kwa kasi?
Mawalla akiiba anatoa vikompyuta kwenye shule halafu picha kibao na kutukuzwa kama mwanasheria,mwalimu maarufu ,je mnakumbuka viwanja vya Burka?hao ndio watetezi wa wananchi elimu yao inasaidia kufisadi na si kuboresha maisha ya wenzao

Hii inchi ni ufisadi everywhere...what hell is this country??

ya yupo Ndani Kama mnabisha njooni hapa central Muone BMW yake Kilichojiri ni stor ndefu narudi

Mmmmmh!..

Mkuu nabrash viatu karibu kabisa na ofisi ya huyu jamaa,..ni machachari kweli *2,....anabadilisha magari ya kifahari kama nini vile i.e leo range,kesho prado mara sijui,....aaaah!..sio vibaya kufanya hivyo na wala sio dhambi kuwa tajiri kwani ni matokeo ya juhudi ya mtu ila vi2 vingine watu tunahoji maake haviendani na shughuli yenyewe,...anyway inawezekana ni kweli maake jana mwanasheria mwingine maarufu hapa arusha by the name ojare alikua hapo kwa mwale,..nimemuona akikuna kichwa hapo nje_ni rafiki yake sana.

Anyway ngoja nipate story kutoka ndani ya jeshi la polisi hapa arusha central,..ntawajuza dk si nyingi zijazo kitu na box kama kweli yupo hapo,....nimpigie andengenye atujuze wana jamvi

mmm tujuzeni wadau wenye taarifa zaidi...interesting. kila mtu anaiba these days...inanikumbusha enzi za ruksa...kila mtu katoa macho kugrab anachoweza...tunabaki sie tuliolala tusiojua rackets za kutupa utajiri chapchap...matokeo yake, tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa...not fair kwa kweli

Mawalla akiiba anatoa vikompyuta kwenye shule halafu picha kibao na kutukuzwa kama mwanasheria,mwalimu maarufu ,je mnakumbuka viwanja vya Burka?hao ndio watetezi wa wananchi elimu yao inasaidia kufisadi na si kuboresha maisha ya wenzao

KAKA YANI UMENIGUSA,YANI ILE VIWANJA VYA BURKA HAKIKA ITAWATOA WENGI KWENYE HII DUNIA YENYE RAHA YOTE,YANI KWA MAOMBI INAYOENDELEA HAKIKA MI CJUI NINI KITAWANUSURU. Yani acha tu!

kwa hiyo IGP mwema kaenda kuchukua cut yake..yeye atasaidia nini kwenda huko labda mnfahamishe...he ain't no judge..

aisee...am so interested to know the details of this story. please continue updating as it unfolds

Back
Top Bottom