ntundaga
Senior Member
- Sep 13, 2018
- 143
- 213
Uhai ni hali ya kuweza kupumua, kula, kujongea, kuhisi, kukua, kuzaliana nk, endapo kiumbe kikikosa vyote au baadhi ya hivyo vitu kina kosa sifa ya uhai!
Ili kitu kiweze kuitwa kiumbe ni lazima kiwe na Mwili na Nafsi, NOTE; hata miti, wanyama na wadudu pia wana nafsi (Nafsi zimegawanyika ktk makundi 6, tutajadili kpnd kjacho)
Lengo; Mwanadam na utu
Mwanadam ameumbwa kua na mwili, nafsi na roho
MWILI; hili ni vazi ambalo limebeba nafsi na roho! Mwili hua unakua controlled na nafsi, kwa namna nyngne, mwili hufanya kila kitu ambacho nafsi hutaka! Kwa maana hyo nafsi inapotoka mwili hubak kama tofali tuu, na hapo tunaita maiti.
Nafsi; hii ni pumzi yenye uhai iliyobeba utashi, akili, maamuz nk, nafsi hua ni kiunganishi kati ya Roho na mwili, ni ktk nafsi ndipo ubinadam unapokua bila hii hakuna binadam! Nafsi ya binadam ndio inayobeba maovu (uasherati, udokoz, usengenyaji, tamaa mbaya, ulevi, uchawi nk) ni ktk nafsi pia, utukuf wa Mungu unapokua, na binadam anajckia aliyektk hali hii, yy hujckia furaha throughout, hata pale atapochukuliwa, kwa maana ktk nafsi yake hakuna uovu (sali, Ee Mungu unisafishe mm na uovu wangu, amina)
Roho; ni nguvu na hali tuliyopewa ya kumtambua na kuwasiliana na Muumba. Ni ktk roho tunapounganishwa na Mungu, endapo kuna maovu ktk nafsi yako, roho huanza kushirik mambo ya nafsi, nahvyo Roho huanza ku adapt hali ya uovu na mwisho yale maovu hua dhambi ktk roho, kwa mf kwenye nafsi kuna udokozi kwenye roho dhambi yake ni kuiba, uasherat kwenye roho ni uzinzi nk (zingatia sn hili, uovu ni mbaya sn) ni ktk roho binadam hupoteza nguv ya uungu (natuumbe mtu kwa mf wetu, mwanzo) kwa nyongeza, check out kwann unashndwa kuacha uzinzi? Kwann unashndwa kuacha uongo? Kwann unashndwa kuabudu? JIBU; ni kwamba uliruhusu uovu ukomae ktk nafsi yako na mwisho ikawa ni dhambi, na hyo dhambi itarithishwa ktk uzao wako, kwa maana dhambi hupatilizwa kwa vizazi bali kwa wamchao hawataiona.