hata hivyo kiukweli serikali kuamia Dodoma ni ndoto za kimweri manake kama hata mbunge wangu aliyezaliwa huku na kukulia huku akishapata upenyo harudi tena mpaka siku anakuja kuomba kuraWengi wamelala wakiamika watakuja utawaona wasivyotaka serikali ihamie dodoma kama Le Mutuz.
he! mbona ndugu unajijibu mwenyewe usingizi nini,?
Wazo zuri.Magufuli angalau umuenzi nyerere kwa kuhamia dodoma sasa iwe mfano.
Mwanzo uliitwa peking kipindi ukiwa umejengwa hovyo hovyo kama Dar , baada ya kuupangilia vizuri sasa unaitwa Beijing, vipi jiji chafu la DAR baada ya serikali kugoma kuhamia Dodoma hawana mpango wa kubadili jina?
Ni matamshi tu hayo, wala yasikutishe hajuna kikichiwahi kubadirishwa.Mwanzo uliitwa peking kipindi ukiwa umejengwa hovyo hovyo kama Dar , baada ya kuupangilia vizuri sasa unaitwa Beijing, vipi jiji chafu la DAR baada ya serikali kugoma kuhamia Dodoma hawana mpango wa kubadili jina?