moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
[emoji736] Kwa mtu mwenye akili timamu na anayejitambua 100%,
Mwenye hekima busara atakuwa amemuelewa MHE RAIS hotuba ya jana nini alichokuwa akizungumza
[emoji736] Kwa biashara ya Madini ya *TANZANITE*
imegawinyika *MAKUNDI MAKUU TISA (9)*
[emoji666] *WACHIMBAJI*
1*Wachimbaji Wakubwa
2*Wachimbaji Wakati
3*Wachimbaji Wadogo
[emoji666] *WANUNUZI*
4*Wanunuzi Wakubwa
5*Wanunuzi Wakati
6*Wanunuzi Wadogo
[emoji666] *WAUZAJI*
7*Wauzaji Wakubwa
8*Wauzaji Wakati
9*Wauzaji Wadogo
[emoji736] Hawa wote wana shughulika na Madini haya TANZANITE.
[emoji736] Utofauti wa kila moja nikutokana na uchimbaji ununuzi na uuzwaji.
[emoji736] Ninapata shaka na Malamiko yote, kelele zote jazba zote na kebehi anazopatiwa MHE RAIS dhidi ya Utunzaji, uchungaji na usimamizi wa Rasilimali zetu kutoka kwa watu wenye kujiita ni wasafi zaidi au wananajua sheria zaidi
[emoji736] Toka tumeanza uchimbaji wa Madini haya. Hakukuwepo na RAMI, HOSPITALS YA KINAMAMA HATA AMBULANCE MOJA TUMEKOSA, MFUMO MZURI WA UPATIKANAJI WA MAJI SALAMA, Alafu MHE RAISI kuwa mkali na Mali za watanzania tunamuona sio chochote.
Mbona mkiomba pesa za uchaguzi wakati wa kupokea kwanini pia msiombe ama kuwakumbusha wafanyabiashara hawa wa MADINI YA TANZANITE wawasaidie kina mama huko Mererani
[emoji736] Hivi mbona panapotokea ugeni wa Kitaifa toka wizara husika au wakaguzi wa madini haya maandalizi ya kuwapokea watu hawa yanakuwa makubwa Usafiri malazi posho na maswala mengine yanawekwa ya msingi mno??
[emoji736] Kwanini basi wageni mnapopokelewa msigusie hata ambulance au na wahusika wenyewe wa Tanzanite gharama za mapokezi mnabeba mzigo huo!!
[emoji736] NA Mbona mzigo wa ambulance msiubebe KUCHANGIA??
[emoji736] Hivi mbona Kamati za Bunge wasigusie haya masuala wanapofika mererani.
[emoji736] Ama wasijarabu kuongea na wadau hawa wa madini ya TANZANITE katika masula ya ELIMU AFYA NA UCHUMI.
[emoji736] Maana na amini kwa mapokezi ya juu ya wawakilishi wa Wananchi wenye mamlaka katika Kamati hizi za Madini mapokezi niya juu naya kipekee mno na hata zile Bashasha uwa zina pumua vizuri, hivyo basi na wao wangeweza kuwatetea ndugu zao wa Mererani hasa hasa kina Mama katika upatikanaji sahihi wa huduma za AFYA mfano ambulance na maswala mengine ya AFYA.
[emoji736] Inakuwaje mapokezi yawe ya juu kuliko hata bei ya hiyo ambulance??
[emoji736] Ukiachilia mbali ORKESMENT ambapo ndio makao MAKUU ya Wilaya ya SIMANJIRO KUWA NA HUDUMA ZA FEDHA.
[emoji736] Basi hata Mererani kwa Wachimbaji walipaswa kuwa na FINANCIAL SERVICES
bank tofauti tofauti na kadhalika.
[emoji736] Uzalendo hauhitaji bakshishi ama uelewa wa juu Uzalendo unapatikana kwa kuwa msimamizi wa Rasilimali za nchi yako, kama afanyanyo *MHE RAIS Dr JOHN POMBE MAGUFULI*
[emoji736] Suala la kupambana na Rasilimali za nchi sio Rais pekee au Serikali
hata wawakilishi wa Wananchi wanapaswa kuwa watetezi nakuwa fahamisha Wananchi wao juu ya usimamizi wa na uangalifu wa juu katika kuzisimamia Mali hizi kwa maslahi ya kesho na keshokutwa
[emoji736] Kazi hii anayofanya MHE RAIS sio Nyepesi anapaswa kuungwa mkono na Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama siasa na udini
[emoji736] [emoji1241] *KIPI CHA KUJIFUNZA KUPITIA ZIARA YA RAIS HUKO MERERANI WILAYANI SIMANJIRO JUU YA RASILIMALI ZETU*[emoji1241][emoji736]
[emoji736] *FAMILIA IKIWA SAFI NA NIDHAMU YA HALI YA JUU, KWA MAANA YA WAZAZI BASI NA WANAO WATAKUWA WASAFI*
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa wasafi kusimamia ilaniya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vizuri KUPITIA Rasilimali za nchi vilivyo kama wasimamizi wa Wananchi na Wabunge wa upinzani WATAKUWA wasafi
[emoji736] Kamati za Bunge Mazingira na Madini Nishati, Wizara za Ulinzi na Usalama wa Taifa wakiwa wasamimizi wazuri wa RASILIMALI ZETU basi na wadau wa Tanzanite WATAKUWA na wao niwasafi na walipaji kodi vizuri
[emoji736] TRA/Airports wakiwa wasafi na wakasimamia vizuri kile kinachipaswa kupatikana kutoka kwa wanunuzi na wauzaji wa Tanzanite iwe ndani ya nchi ama nje basi na wadau pia watakuwa wamefuata taratibu za nchi na wakatoa ushirikiano vizuri
[emoji736] Wizara ya Nishati Na Madini pamoja na idara za kusimamia madini wakiwa Wazalendo katika kusimamia Rasilimali zetu bila kuyumbishwa na wadau hawa au Wafanya biashara Wakubwa basi tutakuwa salama
[emoji736] *NA UKIONA MBUNGE YEYOTE ANAYESIMAMA HADHARANI KUMPINGA MHE RAIS KWA MAELEKEZO YA JANA ALIYOYATOA EITHER KWENYE VYOMBO VYA HABARI AMA MITANDAO basi huyo sio miongoni mwetu ana urafiki na walowezi na MABEPARI WANAOTUMALIZA KUPITIA RASILIMALI ZETU..*
NA SAUTI YA KADA
Ibrahim Othman Jama
0753 300226
KASKAZINI
ARUSHA