Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,720
- 690
Nimeshtushwa sana kwa kinachoendelea ndani ya yard iliyopo mwananyamala mkabala na Mortuary.kuna kampuni nadhani imepewa tenda ya kukamata magari katika wilaya ya kinondoni yaliyo wrong parking lakini kinachoendelea nadhani Serikali inabidi iangalie kwa jicho la tatu.
Ukamataji wao Ni wa kulazimisha kosa, wanalazimisha gari ipelekwe yard kwa mabavu ya askari wanaokua nao na vitisho juu,,nimeshuhudia lori limepigwa risasi kwenye tire kisa linapakia cement na suala hili likaisha kinyemela na askari waliokua pale,,gari ikiingia Hapo faini Ni laki tatu na elfu arobaini,baada ya kulipa wanagawana Hapo kwenye kibanda kilichopo mlangoni,Serikali inalijua hilo??
Ni wakati sasa manispaa ya kinondoni iangalie upya uonevu huu haukubaliki