Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za saa mzito? Nimejitokeza kwenu kuuliza Ndani ya siku 2 hizi zilizopita nimepanda magari ya UDART niaona TV channel imeandikwa BUS TV Maana yake ni kuwa wameanzisha channel au?
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Huyu mtumishi wa mungu huwa mahubiri yake niya kipekee sana yaani hana mbwembwe kama za viongizi wengine wale wapenda shughuda na maigizo yaani namsikiliza hapa kwenye mahubiri yake yanayoendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo ni siku maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa/Paka duniani. Ni siku pekee tunakumbushwa kuhakikisha tunautokomeza ugonjwa huu unao adhiri mbwa/paka na binadamu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ama kweli ukiyastaajabu ya Mussa utayaona ya 'Firauni'. Tunaoitishwa kukubaliana na shutuma za askari hawa ati kwa sababu wameombwa wasimwonee mtu. Kwa hiyo wakidai umepigwa tochi 56km/h hiyo...
1 Reactions
1 Replies
862 Views
Sheria hii ya ajira 2004 MBOVU wafanyakazi wanaumia kwa kipengele cha masaa 45 kwa wiki hali halisi kwa mwezi masaa yanazidi 180 BUNGE LIPITIE UPYA HII SHERIA YA 2004 WAFANYAKAZI SEKTA BINAFSI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Katika Maisha kuna kushinda na kushindwa. Mambo haya mawili hutegemewa kwenye jambo lolote linalofanywa. Kushindwa ni jambo baya sana. Ni jambo linaloumiza na kukatisha tamaa...
4 Reactions
0 Replies
965 Views
Naomba kujua taratibu zinasemaje kuhusu urasimishaji maeneo kwa ujumla kama kijiji au kata kwa ujumla. Kwani nilichogundua wananchi wengi tumenunua viwanja sio maeneo rasmi sasa limekuwa na kesi...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Jana Alhamisi kwenye taarifa ya habari alionekana kamanda wa polisi akiwa ameshika fulana ya kampuni ya Tigo na Clouds TV kuikaribisha Fiesta na mwingine aliwahi kuonekana akiitangaza BIKO, swali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi nimekutana na hii video Instagram ningependa kujua hivi huyu ndie anaesemekana black mamba maana alivyomkimbiza mbwa nimeshangaa.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali. Ukweli ni...
21 Reactions
45 Replies
8K Views
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa serikali kuiona Dar es Salaam kama ndiyo mwakilishi wa Tanzania nzima. Mara nyingi fedha za walipa kodi nyingi zinatumika Dar es Salaam hata kwa mambo yasiyo ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Assalaam Aleykum, Nchini Marekani magereza yana mfumo wa ufundishaji mbwa ambao unafanywa na wafungwa ndani ya magereza. Mfumo huo umesaidia sana kupata mbwa wazuri kwa sababu ya muda mwingi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii sasa balaa,wakulima sisi hatuna pakukimbilia mwaka huu... Zitto Kabwe amjibu nape kwamba wameshaumia kwenye korosho. Kasema "Korosho mmeshaumia, Serikali itafute cha kuwaambia Wananchi...
1 Reactions
55 Replies
14K Views
Eti kila Awamu ya nchi hii kumekuwa na utaratibu wa Marais husika kutoa ' Makafara ' kwa Wananchi wao ili tu ' Tawala ' zao na ' Uongozi ' wao uwe mzuri na kama wasipofanya hivyo basi Wao ( Marais...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi tunasikia wananchi baada ya majanga ya moto wakililaumu jeshi hili zuri la zimamoto na uokoaji. Wananchi wanataka mara tu moto unapoanza fire & rescue force wapo mlangoni bila kujua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la huyu mbunge anasahau kwamba anaumwa, anawaza sana siasa akiwa kitandani, anawaza kila tamko alijibu yeye, kila kitu ajibu yeye, kila tukio, hii yote imemfanya awe na msongo mkubwa wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa afya Hamis Kigwangala amesema ujumbe unaoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanawake watakuwa wakiwalipa wanaume ili wawanyonye kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti...
3 Reactions
68 Replies
20K Views
Kuna wakati mtu anaweza kulala kitandani akiwa mgonjwa, wakati mwingine akiwa mgonjwa hoi kabisa. Anaweza kwenda au kupelekwa hospitalini na huko akaambiwa kwamba hana tatizo lolote. Jambo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Barabara zetu kwa sasa zinaunganisha mikoa mingi na za kiwango. Hivi tunaweza kuwa na kampuni ya manado ya Taifa kama vile ilivyokuwa KAMATA zamani?
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wanaoishi kule njia ya Kimara ndo watumiaji hashwa wa mabasi ya mwendo kasi. Shida ya mabasi haya nikujaza sana watu hadi milango inashindwa kufunga maana mlangoni hakuna wakumwambia mtu...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…