Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,388
- 21,877
Jana Alhamisi kwenye taarifa ya habari alionekana kamanda wa polisi akiwa ameshika fulana ya kampuni ya Tigo na Clouds TV kuikaribisha Fiesta na mwingine aliwahi kuonekana akiitangaza BIKO, swali langu ni je, kanuni za utumishi wa umma zinaruhusu viongozi kujihusisha na matangazo ya biashara ya makampuni binafsi?