Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana JF, jamani hii foleni ya Dar sasa ni kiboko, haya magari makubwa ya mizigo kupita njia moja na magari madogo ni sababu kubwa. Unakuta foleni inaanzia Garage mpaka mataa ya ubungo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Shabashiii..... Kuna mdada anaishi maeneo ya KCMC Mjini Moshi,Mtaa wa Longuo B, anatembea na Cobra kama mlinzi wake dhidi ya wanaume wapenda "totozi". Ukishamtongoza tu ukaenda nae guest /lodge...
4 Reactions
140 Replies
23K Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amebaini ujanja wa baadhi wa wawekezaji katika mashamba makubwa wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro kumilikishwa mashamba huku...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawaza sana tena sana.naomba nipatiwe majibu murua leo.hivi mimi ninaeishi huku kijijini je hiyo flyover ya DSM tazara itanisaidia nini? Nawaza sana hata hiyo mi dreamliner inanisaidia nini mimi...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Huu mjengo wa hoteli huko china umejengwa kwa siku 15 tu. Una ghorofa 30. Huku Bongo inaweza kuchukua miaka 3 hadi 4. Kuna jengo liko hapa Dar pale posta linatazamana na hoteli ya holiday inn...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi Leo nina hoja na naiweka ubaoni ili tuitafakari pamoja Hapa nchini kwetu Tanzania,ajali zimekuwa nyingi sana na nyingi kati ya hizo ni ajali zinazosababishwa na uzembe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana majira ya saa 5 asubuhi tulipanda daladala moja inayokwenda UDOM, ilitoka na abiria kadhaa waliosimama, kufika eneo la posta na kuendelea likajaza abiria kupita kiasi, na yapata kilomita moja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi guys! Kisa hichi kinathibitibisha kuwa vijana wengi, wakike na wakiume tayari washalewa mtandao. "Mvulana mmoja akiwa kwenye daladala kutoka GONGOLAMBOTO kuelekea KARIAKOO, huku akiperuzi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutana na Wanawake Hatari Zaidi Duniani Anna Chapman maarufu kama Anna Kushchenko: Umri miaka 31 Alikuwa jasusi wa Russia akitafuta habari mbalimbali dhidi ya Marekani hususani shirika la...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika maisha haya ya kila siku na kutokujua kipi kinaweza kutokea kwa wakati wowote wanadamu tumekuwa na uoga, maana hatuna uhakika wa maisha yetu japo kwa dakika moja mbele katika nyanja zote za...
11 Reactions
21 Replies
4K Views
Huu ukweli utauona pindi ukiwa unapitia nyuzi za siasa humu jf. Kwenye nyuzi za siasa kwangu mimi ndio naona kuna vimbwanga na ujinga ulio komaa. Maoni ya watu wengi yamejaa chuki,hisia na...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano...
4 Reactions
57 Replies
12K Views
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni siku kadhaa Sasa toka tangazo la RPC Muroto atoe wito kwa Dreva wa Tundu Lissu Ndugu Simon kuripoti Polisi kwa mahojiano kufuatia shambulio na watu wasiojulikana kwa Mbunge Tundu Lissu tarehe 7...
4 Reactions
223 Replies
18K Views
Malaya ninao wazungumzia hapa sio wadangaji wa mjini nah nawazungumzia Malaya wanao jipanga barabarani au wanao jiuza kwenye mabar na clubs. Umezaliwa Dar .Umri wako ni 25 years and above halafu...
6 Reactions
26 Replies
6K Views
Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kuzuia madawa ya kulevya Siang'a amesema Mamlaka yake kamwe haipambani na watumiaji madawa ya kulevya msafiri kwa jina la Mateja bali inaelekeza nguvu...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Hongera sana kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya na Songwe kwa kuwafanya madreva wote kutii na kufuata alama za barabarani aiseeeee.....Huwezi amini kama kweli hapa ni Tanzania kwa jinsi tunavyoona...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hali ya sasa katika ofisi za umma si nzuri sana hasa baada ya Rais Magufuli kutangaza vita dhidi ya ufisadi kwa watumishi wa umma. Mabosi wengi na baadhi ya watumshi wamekuwa hawapendani tena...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimefuatilia viongozi wengi wateule wa Rais,Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri,Wakuu wa Taasisi mbalimbali,za Serikali, Makatibu Tawala wa mikoa na wilaya, Makatibu wakuu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom