Dar es Salaam.
Kampuni ya ndege ya Fastjet Plc ya Uingereza inapanga kusitisha ufadhili wake kwa Fastjet Tanzania.
Hali hiyo inatokana na mwenendo mbaya wa biashara uliosababisha ukata katika...
Nimeshuhudia kiongozi mmoja wa benchi la ufundi la azam akitoa matusi ya nguoni.kwa mwamuzi.labda.azam tv hiyo clips waifute lakini alichofanya anastahili adhabu
Moyo safi ilipewa hadhi ya kuwa hospitali mwaka 2017 lakini kwa maoni yangu kama mtu ambaye nimetumia kituo hicho cha afya naona tofauti na kuwa na majengo mazuri haina hadhi ya kuwa hospitali...
Heko kwenu wadau wa ulingo huu mgumu,
Ninapotafakari kuhusu suala zima la maendeleo ya kiteknolojia kwa ujumla nabaini kuwa Afrika tuko nyuma sana ukilinganisha na jamii zingine duniani...
Unakutana na slay Queen kavaa wigi[emoji68] la tsh 50000 kuficha kichwa[emoji64]chake chenye mapunye.
Hivi dawa[emoji381] ya mapunye inaweza kuzidi 5000 kwa mnao jua dawa yake[emoji736][emoji736]...
ESAHatimaye mshindi wa pili wa bajaj mpya kutoka SportPesa, Abdallah Seleman Ally, mkazi wa Mbagala, amekabidhiwa bajaj yake mpya katika hafla fupi iliyofanyika Mbagala Zakhem jijini Dar es...
Nikiwa kama mkazi kutoka Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma kwakweli tunateseka mnooo na suala la ujambazi hasa wa utekaji magari barabarani na uvamizi majumbani.
Hivi viongozi wetu mnalifahamu hili...
Wanabodi,
Uzi huu ni muhimu kabisa kuwapa hongera mama zetu, nimeamua kuwamwagia misifa mingi mingi kwa misimamo yao isiyoyumba ya kiitikadi hasa ukiringanisha na sisi akina baba.
Kama mjuavyo...
Ndoa nyingi sasa hv hasa za ndugu zangu wale wa ...R itali C..vikao vyao vya kupanga kufanikisha ndoa vinafanyikia bar..
Mambo mengi machafu na mipango ya hovyo uanzia bar..
Ni kweli hiyo ndoa...
Moto mkubwa umezuka kwenye soko la Mitumba la Mlango Mmoja Kata ya Mbugani Wilayani Nyamagana jijini Mwanza leo asubuhi Septemba 28, 2018 na kuteketea vibanda vya biashara pamoja na maduka hivyo...
Azam sports 2 mnapwaya sana katika kipengere cha slowmotion,hamuoneshi vizuri tukio limetokea vp katka pande zote.Kwanini hamujifunzi ata supersport wanavofanya tatzo ni nini hasa? Ukiangalia...
Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza ndugu huyu kwa uwekezaji mkubwa alioufanya huko Arusha kwenye Club inayojulikana kwa jina la Carnival(SunDown) kama sijakosea...
Kwa mwanzoni nilipoifahamu...
1. Samaki wa Sato au Sangara?
2. Kitabu chenye Vivutio vyote vya Kiutalii vilivyopo nchini Tanzania?
3. Kamusi ya Kizanaki, Kimakuwa na Kinyarwanda?
Nitashukuru kwa majibu yenu kwani nikiwa kama...
Wakuu habari za saa mzito?
Nimejitokeza kwenu kuuliza
Ndani ya siku 2 hizi zilizopita nimepanda magari ya UDART niaona TV channel imeandikwa BUS TV
Maana yake ni kuwa wameanzisha channel au?
Huyu mtumishi wa mungu huwa mahubiri yake niya kipekee sana yaani hana mbwembwe kama za viongizi wengine wale wapenda shughuda na maigizo yaani namsikiliza hapa kwenye mahubiri yake yanayoendelea...
Leo ni siku maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa/Paka duniani.
Ni siku pekee tunakumbushwa kuhakikisha tunautokomeza ugonjwa huu unao adhiri mbwa/paka na binadamu...
Ama kweli ukiyastaajabu ya Mussa utayaona ya 'Firauni'. Tunaoitishwa kukubaliana na shutuma za askari hawa ati kwa sababu wameombwa wasimwonee mtu.
Kwa hiyo wakidai umepigwa tochi 56km/h hiyo...
Sheria hii ya ajira 2004 MBOVU wafanyakazi wanaumia kwa kipengele cha masaa 45 kwa wiki hali halisi kwa mwezi masaa yanazidi 180
BUNGE LIPITIE UPYA HII SHERIA YA 2004 WAFANYAKAZI SEKTA BINAFSI...
Habari wakuu.
Katika Maisha kuna kushinda na kushindwa. Mambo haya mawili hutegemewa kwenye jambo lolote linalofanywa. Kushindwa ni jambo baya sana. Ni jambo linaloumiza na kukatisha tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.