Barabara zetu kwa sasa zinaunganisha mikoa mingi na za kiwango. Hivi tunaweza kuwa na kampuni ya manado ya Taifa kama vile ilivyokuwa KAMATA zamani?
Serikali na biashara ni kama mafuta na maji.Barabara zetu kwa sasa zinaunganisha mikoa mingi na za kiwango. Hivi tunaweza kuwa na kampuni ya manado ya Taifa kama vile ilivyokuwa KAMATA zamani?
Kwangu mimi ninachokiona kwako ni 'uhitaji wa kuboreshwa huduma ya usafiri'. Naliunga mkono hilo lakini swala la serikali kuwa mmiliki/muendeshaji nalipinga sababu serikali ina historia ya uendeshaji mbovu sana.Wawekezaji wakiruhusiwa itakuwa ni jambo la busara kuanza kuwekeza mawakala kila mkoa na kuanza hoteli za madereva kupumzika kila baada ya masaa nane ya safari kuwa na dereva mwingine. Pia mabasi yazingatie muda .
😔Hivi hujawahi kujiuliza, unakutana na kilimo kwanza ya STK/L V8 imebeba mkaa kwenye carrier...hivi inawezekana kweli V8 ya mtu binafsi ukapakia mkaa juu ya gari? This and other examples, should tell you something!
Kuwekeza katika usafirishaji ni hasara, serikali zetu haziwezi angali hapo BRT ni mfano tosha,Barabara zetu kwa sasa zinaunganisha mikoa mingi na za kiwango. Hivi tunaweza kuwa na kampuni ya manado ya Taifa kama vile ilivyokuwa KAMATA zamani?