Laiti viongozi wetu wa dini wangekuwa kama chroster mwakasege wengi tungepona kiimani sana

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Huyu mtumishi wa mungu huwa mahubiri yake niya kipekee sana yaani hana mbwembwe kama za viongizi wengine wale wapenda shughuda na maigizo yaani namsikiliza hapa kwenye mahubiri yake yanayoendelea viwanja vya kawe yaani huwa nafarijika sana,
Na sijawahi kumsikia akiponda au akiingia kwenye siasa wala akazangumzia dini nyingine tofauti na wale wengene wanaopenda kurushiana vijembe vya hapa na pale kisiasa na kidini.
Mungu ambariki sana huyu mtumishi wake christofer mwakasege aendelee kuwa na moyo huo huo.Amen.
 
Jamaa nasikia hana kanisa kama walivyo wachumia tumbo wengine wa kiimani kuwa akiwa maarufu kidogo tu anasajili kanisa lake na kujiita nabii
 
Mods naombeni mnirekebishie jina nimelikosea lisomeke "christofer"
 
Kawaida tu mkuu wako wengi wasiofahamika wanaoendesha huduma ila na wenyewe wanapiga hela ila sio Kama manabiii kina sheperd
 
Ndani ya hoja yako umemzungumzia Christofer Mwakasege. Ila umesahau kumzungumzia huyo Chroster Mwakasege uliyemtaja kwenye kichwa cha habari. Kwa nyongeza kuna mtumishi mwingine wa Mungu anaitwa Christopher Mwakasege nae uwa anakubalika sana kwa mahubiri yake.
 
Back
Top Bottom