Hivi huyu ndio black mamba?

kakhulu

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
783
1,056
Habari wana jamvi nimekutana na hii video Instagram ningependa kujua hivi huyu ndie anaesemekana black mamba maana alivyomkimbiza mbwa nimeshangaa.
 
Haahahaha eti black mamba

Huyo nafikiri ni paka na black mamba ni nyoka mkuu na usimtaje taje huwa hana utani huyo
 
Bro huyo ni kenge,anakimbia vizuri sana kama ulikuwa hujui.

Black mamba ni njoka.
 
Sio huyo mkuu ila wana undugu flani,black mamba ana makengeza ukimuangalia vizuri kwa karibu.
 
Back
Top Bottom