Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kujua taratibu zinasemaje kuhusu urasimishaji maeneo kwa ujumla kama kijiji au kata kwa ujumla. Kwani nilichogundua wananchi wengi tumenunua viwanja sio maeneo rasmi sasa limekuwa na kesi...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Jana Alhamisi kwenye taarifa ya habari alionekana kamanda wa polisi akiwa ameshika fulana ya kampuni ya Tigo na Clouds TV kuikaribisha Fiesta na mwingine aliwahi kuonekana akiitangaza BIKO, swali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi nimekutana na hii video Instagram ningependa kujua hivi huyu ndie anaesemekana black mamba maana alivyomkimbiza mbwa nimeshangaa.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali. Ukweli ni...
21 Reactions
45 Replies
8K Views
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa serikali kuiona Dar es Salaam kama ndiyo mwakilishi wa Tanzania nzima. Mara nyingi fedha za walipa kodi nyingi zinatumika Dar es Salaam hata kwa mambo yasiyo ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Assalaam Aleykum, Nchini Marekani magereza yana mfumo wa ufundishaji mbwa ambao unafanywa na wafungwa ndani ya magereza. Mfumo huo umesaidia sana kupata mbwa wazuri kwa sababu ya muda mwingi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii sasa balaa,wakulima sisi hatuna pakukimbilia mwaka huu... Zitto Kabwe amjibu nape kwamba wameshaumia kwenye korosho. Kasema "Korosho mmeshaumia, Serikali itafute cha kuwaambia Wananchi...
1 Reactions
55 Replies
14K Views
Eti kila Awamu ya nchi hii kumekuwa na utaratibu wa Marais husika kutoa ' Makafara ' kwa Wananchi wao ili tu ' Tawala ' zao na ' Uongozi ' wao uwe mzuri na kama wasipofanya hivyo basi Wao ( Marais...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi tunasikia wananchi baada ya majanga ya moto wakililaumu jeshi hili zuri la zimamoto na uokoaji. Wananchi wanataka mara tu moto unapoanza fire & rescue force wapo mlangoni bila kujua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tatizo la huyu mbunge anasahau kwamba anaumwa, anawaza sana siasa akiwa kitandani, anawaza kila tamko alijibu yeye, kila kitu ajibu yeye, kila tukio, hii yote imemfanya awe na msongo mkubwa wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa afya Hamis Kigwangala amesema ujumbe unaoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanawake watakuwa wakiwalipa wanaume ili wawanyonye kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti...
3 Reactions
68 Replies
20K Views
Kuna wakati mtu anaweza kulala kitandani akiwa mgonjwa, wakati mwingine akiwa mgonjwa hoi kabisa. Anaweza kwenda au kupelekwa hospitalini na huko akaambiwa kwamba hana tatizo lolote. Jambo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Barabara zetu kwa sasa zinaunganisha mikoa mingi na za kiwango. Hivi tunaweza kuwa na kampuni ya manado ya Taifa kama vile ilivyokuwa KAMATA zamani?
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wanaoishi kule njia ya Kimara ndo watumiaji hashwa wa mabasi ya mwendo kasi. Shida ya mabasi haya nikujaza sana watu hadi milango inashindwa kufunga maana mlangoni hakuna wakumwambia mtu...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Nimemsikia leo akisema hiyo idadi tena bila hata ya wasiwasi wowote katika ' Amka na BBC ' na nikashtuka mno na kusikitika sana tu. Nadhani BBC hasa idhaa ya Kiswahili kuna ' tatizo ' la Kiuweledi...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Sifa gani inawastahili hawa watu wa ukoo wetu? Waoga Walalamishi Wajinga Wavivu Mbumbumbu Wenye akili nyingi???? Nimeuliza kwa sababu zifuatazo:- Kila kunapotokea janga lolote, wengi...
0 Reactions
9 Replies
990 Views
KUNA USHINDI KATIKA KUNYAMAZA Mfalme Suleiman anasema "Mithali : Mlango 17 28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu." Mfalme Suleiman Ni miongoni mwa...
11 Reactions
7 Replies
12K Views
Bin Laden business grew from humble beginnings By Katie Paul, Tom Arnold, Marwa Rashad and Stephen Kalin,Reuters 6 hours ago The headquarters...
1 Reactions
3 Replies
895 Views
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa wametakiwa kuwa kiunganishi kati ya Serikali na Wananchi wake kwa kuibua changamoto na matatizo yanayowakabili wananchi na kuyatafutia muendelezo wake baada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mark my word Jamii Forums Member! Mimi sio msimuliaji mzuri msinihukumu Kwa hili najua wengi wana ushahidi na wengine watakataa lakini nawahakikishieni its a serial killer nowdays sio kwa...
4 Reactions
26 Replies
11K Views
Back
Top Bottom