SSRA, PSSSF sasa ruksa kutuibia

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako. Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!?

Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani? Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeanza kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?

Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo. Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?

This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.

Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi. Acheni wizi wa mchana bwana. We are not that stupid.
 
Ok mkuu wewe kwa maoni yako unadhani kuna lolote serikali hii itafanya kwa manufaa yako? Nchii inayumba kila sehemu, ndiyo maana wanazidi kuajiri au kulipa watu washangilie mana hata wao wanajua jinsi hali ilivyo mbaya. Take it from me mkuu, you are on your own, expect nothing from this ..... , yani mim kwasasa hata kuwafatilia nilisha acha zamani sana.
 
Utasikia sheria ndio inasema hivyo.

Tujiulize, what is sheria?

Sheria is equal to kijani, kwasababu sheria nyingi zinapitishwaga kwa ushabiki na watu wale regardless zinawakandamiza wananchi au la. Kwahiyo chama husika waoneeni huruma wananchi. Haiingii akilini mimi niache kazi halafu nisubiri hadi uzeeni ndio nipate hela. Haki ya nani sio haki wala sio sawa.
 
Ukitaja SSRA what comes in mind first ni muuza sura flani aliyechomekwa pale miaka hiyo na ambaye pamoja na kua ni msomi ila anachofanya sikijui zaidi ya sisi kumhudumia kwa pesa zetu.
 
Hiyo ndio Nchi ya viwanda yaani badala watu wapewe pesa zao kipindi wapo vijana ili waweze kujiajiri na kuajiri vijana wenzio kwa sababu wengine wanfanya kazi kwa malengo ya kupata mtaji kwa zile pesa wanazokusanya kwenye mifuko ja jamii lakini leo walewale wanohamasisha watu wajiajiri wanakuambia ukiachishwa kampuni A katifute kazi kampuni B... du waTZ tutapata tabu Sanaa.
 
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako. Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!?
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani? Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeanza kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50? Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo. Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi. Acheni wizi wa mchana bwana. We are not that stupid.
Asilimia 92 ya wabunge wa CCM ndo waliipitisha hii baada ya wapinzani kuwagomea. By the way hivi mwaka 2015 ulichagua Mbunge kutoka chama gani.
 
NSSF wanadai serikali karibia sh. 1TRILLION

Hilo linakufa kabisa bado na bima ya afya linakaribia kata roho alafu tuanze mtafuta mchawi nani
Mimi nilitarajia kufika 2018 Hospital zote Tanzania zitakuwa hazina huduma ya Maana. Kwa sababu serikali imebeba huduma zote na wakati wachangiaji wengi ni wachache na fedha zenyewe hazifiki kwa wakati na wazee wote serikali imesema itawatibia bure. Sasa kwa serikali yenyewe imeshindwa kujenga hospital Leo inang'ang'ania kutoa huduma bure. Hao waliowekeza pesa kwy hospital industry wote watasepa na kurudi ktk kutogemea mpaka kwenda Kenya au sehemu zingine uwezi kulazimisha maisha ya Ujamaa na wakati tupo ktk Ubepari
 
NSSF wanadai serikali karibia sh. 1TRILLION

Hilo linakufa kabisa bado na bima ya afya linakaribia kata roho alafu tuanze mtafuta mchawi nani
Ndo tatizo la serikali vitu vinaanzishwa kwa nia nzuri lakini taasisi zake zikipewa huduma huwa hazilipi (bajeti zao huwa zipo kwenye makaratasi na ukisikiliza unafurahi kumbe ukija kwenye utekelezaji unajikuta hata iyo bajeti waliyopanga ela zilizopo kwenye huo mwaka wa fedha hazizidi hata 45% ya kile kilichopngwa
 
Halafu wanaenda bungeni kusifiana tu. Sishangai hata jana Ali Hapi kaenda hospitali akapewa vidonge vyake mwisho wa siku akawa mpolee kama aliyefumaniwa. Unaenda kwa ukali mbona dawa hazipo nyinyi(watumishi) ni wezi(ndio maana ata Ummy Mwalimu alitoa agizo ambalo aliwataka maness wasiwe na phamacy zao lakini ikashindikana) alivyopewa data akawa mnyonge
 
Acha kabisa ni hatari
 
Back
Top Bottom