Mabadiliko JF ni muhimu sana.tuunge mkono

Mabadiliko JF ni muhimu sana.tuunge mkono

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Guys tuunge mkono campaign ya kuomba administrator wa JF kafanyie modifications application yetu pendwa kwa kuweka option ya kuweza Ku delete thread Bila Msaada mods. Zipo sababu nyingi lakini kubwa ni kwamb lazima mtu awe Na uhuru wa Ku control mawazo yake aliyowahi kutoa huku jf Na Bila Shaka kuna watu wanaendelea kuhukumiwa kwa thread zao za miaka ya nyuma ambazo huwez kua mtu aliandika akiwa ktk status Gani.....hii ndio sababu watu wengi wamekua wakija Na IDs mpya Kila Leo kuepuka either kushutumiwa au kuibika kwa mambo ya zamani...#join the movement...we need modifications# let have power to control our threads.
 
Naona ibaki kama ilivyo tu. Lakini kuwe na utaratibu kwa Mods, kwamba member akitaka thread yake ifutwe huku akiwa ametoa sababu za msingi. Basi haraka sana akubaliwe.
 
Hapana ukifuta thread zako utafuta na mawazo yetu mazuri tuliyotoa wachangiaji kwa hiyo utakuwa hututendei haki
 
Mi ningeomba na sehem ya kudislike thread iwepo maana penye like pana dislike pia.
 
Moda kwa hili waliwaza mbali,ila sijajua kwanini kuna like hakuna dislike pop.embu wekeni hiyo,ukipata like 5 dislike 35 basi ujue umeandika mashudu.
 
Hiyo kitu ya kufuta threads haiwezekani na naomba isiwepo.

Kutakuwa hakuna kufukua makaburi na haitakuwa forum tena maana ili forum ikamilike ni lazima kuwe na "library" ya threads.

Hakuna forums ya namna hiyo unayoweza kufuta thread uliyoandika.
 
Hii haifai kufuta,thread nyingine hata kama mhusika inamkera lakini inakuwa na manufaa makubwa kwa member wengine.Ndiyo maana jf mambo mengi ukitafuta utakuta yalijadiliwa hapa ambayo ni msaada kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom