Ule mpango wa kuhamishia maduka ya magari(Show rooms) yote kigamboni unaendeleaje?

Nadhani ule mpango ulishakufa na kufutika, hata Bashite mwenyewe huenda haukumbuki.
Mpaka dakika hii ninavyoandika, hakuna hata duka moja wala show room moja iliyojaribu kuhamia kule porini.

Zile zilikuwa ni kiki za kijinga, ushamba wa madaraka na utoto wa kufikiri.
Toka lini biashara ya kuuza na kununua magari na vipuri ikafanyika porini?
 
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Naomba kufahamishwa ule mpango aliousema mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda mwaka jana kua maduka yote ya magari kufikia Disemba 31. 2017 yatakua yamehamia kigamboni umefikia wapi?

Bado unaendelea au ulisimama?

Ahsante.

Maneno yatokayo kwa mtu yule nayo ni ya kuamini!?sasa kama alidanganya alikosoma na elimu yake ni wapi wa kumuamini
 
Ha ha ha.. Huyu jamaa hana jambo ambalo alilianzisha, akalisimamia na na kuleta tija.. Mengi anayaanzisha kama kiki na sehemu ya kupiga pesa..

Kwa sasa hivi yuko busy na harusi za machalii wake wapya.. Clouds walie tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ule mpango ulishakufa na kufutika, hata Bashite mwenyewe huenda haukumbuki.
Mpaka dakika hii ninavyoandika, hakuna hata duka moja wala show room moja iliyojaribu kuhamia kule porini.

Zile zilikuwa ni kiki za kijinga, ushamba wa madaraka na utoto wa kufikiri.
Toka lini biashara ya kuuza na kununua magari na vipuri ikafanyika porini?
Hivi kuna project yoyote bashite aliyowahi kuipa kiki ikafanikiwa?
...mambo yote ni akili ya zero brain, hamna kitu!
...lile suala la akina mama waliotelekezwa limeishia wapi kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kufahamishwa ule mpango aliousema mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda mwaka jana kua maduka yote ya magari kufikia Disemba 31. 2017 yatakua yamehamia kigamboni umefikia wapi?

Bado unaendelea au ulisimama?

Ahsante.
Mtoa mada naomba unikumbushe na ule WA walimu kupanda daladala Bure!,kisha nijuze na wale wamama waliosusiwa watoto,.Halafu malizia na ule WA kupaka rangi nyumba zoote za barabarani !!! Tafadhani nipo mkoani ndugu
 
Nadhani ule mpango ulishakufa na kufutika, hata Bashite mwenyewe huenda haukumbuki.
Mpaka dakika hii ninavyoandika, hakuna hata duka moja wala show room moja iliyojaribu kuhamia kule porini.

Zile zilikuwa ni kiki za kijinga, ushamba wa madaraka na utoto wa kufikiri.
Toka lini biashara ya kuuza na kununua magari na vipuri ikafanyika porini?
Ni kama umecomment kwa jazba, tena kwa mtu aliyekuudhi sana!
Tangu lini Kigamboni pamegeuka kuwa porini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom