Msaada wa kusajili kikundi cha maombi

Msaada wa kusajili kikundi cha maombi

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
233
Reaction score
264
Habari ndugu zangu, namboa msaada namna ya kusajili kikundi cha maombi kama asasi ya kijamii, ni nahitajika vitu gani na wanasajilia wapi? Asante.
 
Ada ya usajili, kila Kichwa laki 5!
 
unaombea nini kwani mpaka mjisajili utadhani entrepreneurs!!!
kama ishu ni kuomba au kuombea si mpige tu kazi kwa wito, sasa mnataka usajili ili mtambulike kama nani !!!

Ukishindwa kuelewa hapo basi mtafute gwajima akupe details za kupata huo usajili
 
acha porojo na wizi nenda kwenye kanisa la asili wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom