Vodacom linawahusu hili

Vodacom linawahusu hili

quavio wa tz

Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
88
Reaction score
36
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu . Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???" . Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~```
 
Mkuu hauna wa kukupazia sauti wala kukusaidia, wacha tuendelee kuumia kwa pamoja. Yaani dk1 kutokana unit 5 hadi 50! Asee hata kama ni kukomoana huu ni wizi uliopitiliza
 
hao foda wamekuwa kama ma.laya wa uwanja wa fisi...

yaani wakiona hela kwenye laini yao,kila dkk wanakutumia mameseji yasio na kichwa wala miguu ilmradi hela yako waikombe yote
 
kwa niaba ya voda nawaambia "Ndio tumewachoka"
sio kila siku malalamiko ni hayahaya tu voda voda voda voda utadhani mna hisa voda, hama mtandao huwezi weka simu au itumie kama calculator tu itapendeza
 
Voda na wasihii muangalie hili swala kidogo koz nimebahatika kupitia hivyo vifurushi vipya cost zote mme double manake kifurushi cha Tsh.500 kimekuwa Tsh.1000 hii garama kubwa kwa mwana chuo kama kweli mlikuwa mme lenga kuwa saidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom