nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Jamani mm nipo tofauti kidogo na maamuzi ya viongozi wetu sijui nyie mnaonaje, MICHANGO YA RAMBIRAMBI AU ZILE POLE, YOTE WALITAKIWA WAPEWE WAHUSIKA, hawa watu wana maumivu makali mioyoni mwao ikiwa pia huu uzembe wa ajali either ulichangiwa na serikali au laa,
KUJENGA KITUO CHA AFYA, sio tija bz ni jukumu pia la serikali kwa hiyo ingejenga tu ila kutumia rambirambi za wafiwa kufanyia maendeleo naona haipo sawa
KUJENGA KITUO CHA AFYA, sio tija bz ni jukumu pia la serikali kwa hiyo ingejenga tu ila kutumia rambirambi za wafiwa kufanyia maendeleo naona haipo sawa