WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
Kwangu kibu langu ndio, je wewe mdau?
Jamii forums ni mfano wa darasa, tofauti na madarasa yale mapango ya shule zetu.
Madarasa au vyuoni ukijifanya unauelewa zaidi ya Mwalimu wako atakuwajibisha au kuweka uchuki wake. Humu jamii forums Bwana Max Mello Jf Founder amewahi kufanya hivyo?
Sasa wadau watu wengi humu tunashinda, nimetoa hoja nirekebishe halafu huoni sijajirekebisha ndio kosa langu. Toa hoja nitoe hoja, tubishane kwa hoja.
Hili swala lipo hadi bungeni kwetu, wabunge wetu hawabishana kwa hoja. Ni kushindana kule, weka hoja mezani nitoe hoja.
Vyama pinzani na chama tawala nao wanashindana kwa kujifanya nina mamlaka, naijua sheria. Tunajenga nchi tunabomoa.
Hujui uliza humu ndani utapewa majibu kamili, hoja yangu ina mapungufu nipe hoja yako.
Humu ndani kuna watu wa experience mbali mbali, humu ndani kuna intellectual people kama Yericko Nyerere na wengine.
Unajua unachokijua we post, mimi nakijua vizuri au zaidi yako nikuweke sawa.
Kuna mtoto mmoja mwanafunzi wa darasa la tatu alimwambia mwenzie matako wewe, nilimuita nikamhoji mbona umemtukana mwenzio? Akasema si mtukana. Nikamhoji kwa nini? Akasema matako si tusi ni kiungo, na yale pale anayo. Nikamwambia nenda. Ila nilitaka nimchape, lait nisingemskiliza ninge mchapa.
Tanzania hatuna sheria nzuri na wala hazifuatwi. Basi tuhukumiane kwa nafsi zetu nafsi zetu zitusute na zikiri. Nafsi yako ikikiri umekosea wewe hutoniwekea kinyongo wala mimi.
Watanzania tujifunze kusikilizana kwanza. Na tuheshimiane kwanza tukiheshimiana kusikilizana ni Rahisi sana.