Ufalme wa clouds kwenye matamasha makubwa ya muziki unakwenda kupotea

Status
Not open for further replies.

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
10,299
13,329
Habari zenu wana jamvi
.
Bila kupoteza wakati kwa porojo nyingi leo saa 8 kamili WASAFI TV wamerusha matangazo mubashara yakionyesha founder na boss wa media hiyo DIAMOND PLATNUMZ akifanyiwa sherehe ya kuzaliwa ofisini kwake.
.
Katika hitimisho la tukio hilo mubashara bwana simba amesema watu wakae mkao wa kula kwani WASAFI FESTIVAL ipo njiani mkoa kwa mkoa hivyo wadau wakae mkao wakula pia WASAFI WEBSITE jumatatu ijayo itakuwa on air.
.
Kama mtakua mashuhuda wa show ya fiesta morogoro ndipo mtakapojua mwisho wa ukubwa wa fiesta umefika vilifanyika vitu vya kitoto sana hawako live na maisha.
 
Clouds ni watu hatari sana, yani walimpa diamond elfu 20 kwenye Show ya fiesta wakati simba alikuwa na wenzake kama wanne.

Kiukweli clouds ndio wanauwa mziki wa bongo, na njia nzuri ni kuwauw watu hao?

Ni kama marekani wakati wa Big na 2pac ndio walikuwa wamechikilia mziki wa marekani, wajanja wakajua, ndipo zikapangwa mbinu za kuwauwa

Amini nakwambia mziki wa bongo ukita kutoka hapa ulipo ni lazima clouds wazimwe hata kwa kifo.
 
Kuua tena mkuu😂😂 si jambo jema, jambo jema ni kubeba nafasi yao wawe kama RFA
 
MI NADHANI TATIZO SIO CLOUDS ILA TATIZO LIKO KWA WASANII WETU.
Hawana umoja,wanaendekeza njaa na pesa ya bia kisha wanafanya show za fiesta.
Sababu nyingine kubwa ni kutokujitambua kwa wasanii hao.Kuna baadhi ya wasanii wanazungukuka na fiesta miaka nenda rudi hawana hata VITZ.
 
Clouds ni watu hatari sana, yani walimpa diamond elfu 20 kwenye Show ya fiesta wakati simba alikuwa na wenzake kama wanne.

Kiukweli clouds ndio wanauwa mziki wa bongo, na njia nzuri ni kuwauw watu hao?

Ni kama marekani wakati wa Big na 2pac ndio walikuwa wamechikilia mziki wa marekani, wajanja wakajua, ndipo zikapangwa mbinu za kuwauwa

Amini nakwambia mziki wa bongo ukita kutoka hapa ulipo ni lazima clouds wazimwe hata kwa kifo.
Aisee umeshitua uliposema hata kwa kifo
 
kwanini muwatake wawe wamoja huku mnawadhulumu,neno hili linatokea kwa sababu wanadhulumiwa walipeni stahiki zao wanapofanya kazi zao.walipeni wakafie mbele,yaani muwazulumu wazi wazi halafu mdai sio wamoja tendeni haki wapuuzi nyie wadau.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom