Namtafuta Alex Nanyalo

Namtafuta Alex Nanyalo

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Habari wadau namfatuta huyu jamaa yangu anaitwa Alex Nanyalo alimaliza diploma course pale Marangu TTC mwaka 2016.Mara ya mwisho alikuwa anafundisha kituo cha Twishen pale Kaloleni Arusha centa.Tafadhari atae muona anipm
 
Ahhh!!! Wadau wanachambua typing error badala ya kutoa msaada
Unaweza kuona kama ni jambo dogo ila ni kubwa sana. Tunachambua typing error kukufundisha kuwa na tabia ya kusoma mara mbili taarifa yoyote kabla hujaipost. Unaweza siku ukawa mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano ikulu ukatuletea taarifa za ajabu.
 
Hebu weka picha mkuu, itatupa urahisi wa kumjua huenda akawa mtaani kwetu.
 
Nimempatia Temple anatakiwa kwa ajiri ya interview kanda ya ziwa
Mkuu TEMPLE manake nini? Kwa nini unasema Umempatia TEMPLE ilhali anatakiwa kwa interview? Sema umemtafutia Interview ya Kazi!
 
Back
Top Bottom