Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kwa umri wangu nimeshuhudia na kusikia mitihani ikivuja kwa kasi ya kimbunga miaka ya 1998 ,2008 na sasa 2018 tumeanza kwa kuambiwa matokeo ya darasa la 7 yamefutwa kwa baadhi ya shule.
Hivi kunani miaka yenye 8 , sijajua kwa miaka 1988,1978 n.k
Ngoja tuone na ya form four itakuwaje
Hivi kunani miaka yenye 8 , sijajua kwa miaka 1988,1978 n.k
Ngoja tuone na ya form four itakuwaje