Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naogopa hata kutype. Natetemeka. Nahuzunikia watoto na wajukuu zetu na wana wao pia.
2 Reactions
3 Replies
117 Views
Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Sijui kwanini dini zinasifia upande mmoja na kupinga mwingine wakati ili ulimwengu uwe sawa lazima kuwe na mivutano ya vitu viwili vinavyopinga
1 Reactions
5 Replies
63 Views
Mitandaoni na hata mitaani pikipiki zilizotumika (used) za aina ya Boxer zinaongoza sana kuuzwa. Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza kwa nini Pikipiki za Boxer used zinauzwa kwa wingi? Sababu ni...
4 Reactions
19 Replies
629 Views
Leo tarehe 18 Mei ni Siku ya Kimataifa ya Jumba la Makumbusho. Mwaka 2026 ni mwaka maalum – unaoashiria miaka 70 tangu China na Afrika zianzishe uhusiano ya kidiplomasia, pia ni “Mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Hii ni mada nzito inayozungumziwa sana kwa sasa, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahubiri yanayoweka mkazo mkubwa kwenye miujiza kuliko mafundisho ya msingi ya imani au juhudi binafsi za...
4 Reactions
42 Replies
525 Views
Katika jamii yetu kuna tabia ya watu kujiona wakubwa kwa sababu wanashinda wale walio dhaifu kuliko wao. Msemo huu unatukumbusha kuwa ushindi wenye maana hupatikana unaposhindana na watu wenye...
4 Reactions
2 Replies
121 Views
  • Redirect
Na Mwandishi Wetu, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Heche John, amewataka wananchi wa Mkoa wa Geita na Watanzania kwa ujumla kuendelea kuwa mabalozi wa amani katika jamii zao huku...
0 Reactions
– Replies
– Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini. Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa...
17 Reactions
117 Replies
2K Views
Ni nani anaetaka dunia iende kwa favour yake? Ni nani ana panga sytstem, structures and njia za maisha? eli -DEFIANT- cohen Mshana Jr Castle_Lite Maxence Melo
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Habarini polisi wa tanzania japo mumekuwa kwenye katiba ya CCM sehemu yao. Kuna jambo la kujifunza sana maana ndio kitengo duniani kinachukiwa na kuwa na lawama tokea mlipo shiriki kumtesa Yesu...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Kwa kutoa nafasi kwa wadau wote, Tume iliunda mazingira ya mazungumzo ya kitaifa. Ripoti yake inawakilisha sauti ya Tanzania nzima katika kutafuta amani na maridhiano baada ya matukio ya ghasia...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Back
Top Bottom