Mbunge wa jimbo la Uyole mkoa wa Mbeya nchini Tanzania ambaye pia ni Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson Mwansasu amependekeza kwamba umri wa binti kuolewa uwe ni kuanzia...
Ikumbukwe Kuwa Mheshimwa Raisi alitoa muda wa mwaka Mzima kwa wananchi waliokosea taarifa zao NIDA zirekebishwe.
Lakini cha ajabu NIDA Amekaidi kurekebisha mwaka wa kuzaliwa tuu wanaweka...
Habari za wakati huu wana-jukwaa wenzangu,
Maisha ya sasa yamekuwa na kasi sana. Kila mmoja wetu anapambana na majukumu, foleni, kazi, na changamoto mbalimbali za kimaisha. Katika mihangaiko hii...
Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea...
Nataka kuweka geti la kuslide(kusukuma). Geti limekamilika kutengenezwa. Bado kuliseti kwenye reli yake tu. Mafundi wanabishana mwingine anasema tuweke nondo ya mm 10 kwenye reli.
Mwenzake...
Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza:
“Ni-save nani?”
Kuna ile culture ya...
Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo...
Wakuu heri ya wekeend,
Ebu angalia hilo tatizo la kuagiza kila kitu , unakuta mtu yuko very proud akiigizia hayo magari .. Jamani hata mfikiria huku pesa zinaenda nje kwa kila kitu .
Mimi hapa muuza viatu nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefilisika hatimaye nimekubali kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa.
Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mimi...
Tafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na...
Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi..
ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa...
Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Klabu ya Manchester United pamoja na timu ya Taifa ya England, Rio Ferdinand, ameweka wazi kuwa atatembelea Tanzania Mei 19 hadi 22, 2026 kufuatia mwaliko maalum...
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa...
Uislamu ni dini inayomlea mwanadamu kuwa na tabia njema, huruma, uadilifu na heshima kwa watu wote. Katika mafundisho ya Kiislamu, ibada hazihusiani tu na kuswali au kufunga, bali pia zinahusisha...
Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa
bangi na mirungi viliadimika sana
maduka na vibanda vya sigara vilifungwa
Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
Bwire atangaza vita mpya dhidi ya upotevu wa maji Dar na Pwani
DAWASA yalenga kushusha upotevu wa maji hadi asilimia 20
DAWASA yaomba ‘tafu’ kwa Wananchi kubaini upotevu wa maji
Mamlaka ya...
Saivi tumeshaendelea sana ki teknolojia, saa zinaenda sambamba kila mahali, hatutegemei kusikia jogoo amewika au kuangalia kivuli ili tujue muda.
Lakini kila tukio, iwe kikao, vipindi vya redio...
Mimi ni mwananchi wa Arusha kata ya muriet-intel karibu na idara ya maji , ni mwezi sasa wananchi wa mtaa huu hatuna maji kutoka hapo idara ya maji na hili tatizo limeota mizizi sasa maji hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.