Maandalizi ya Mkutano wa 60 wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), unaotarajiwa kufanyika tarehe 22 Mei 2026, yameanza rasmi kupitia vikao vya ngazi ya wataalamu...
“Mimi kwa kweli waheshimiwa wabunge sina changamoto na watu wa utalii neno linaloitwa utalii sina changamoto nalo ombi langu wapunguze safari za kwenda nje kutangaza, wanatumia hela za serikali...
The game is unfair, but you still have to play.
Mfumo wa Maisha hauwezi kuwa sawa kwa 100% - kuna watu wenye connection, pesa, na faida ya mapema. (FAIDA YA MAPEMA) au (head start)
ni pale...
Salaam, Shalom!!
UTANGULIZI.
Ndani ya nyumba zetu, Pana mijusi yenye RANGI nyeupe tofauti na mijusi wa nje. Na KAZI ya mijusi KIMWILI Huwa ni kutafuta na kula WADUDU watambaao na warukao nk nk...
Ndugu zangu nimejiuliza hivi Shetani kuna kitabu chochote ambacho amejitetea kutokana na tuhuma lukuki zinazomkabili? Au yeye ndo hana cha kusema kashakubali kuangushiwa jumba bovu?😁
Wasalaam.
Jamii tuzungumze tubadilishane mawazo kidogo.
Malalamiko mengi kuhusu watoto kutelekezwa, kwenye upande wa mtelekezaji, mara zote anakuwa baba watoto😭, kwa nini lakini? Napokea mengi...
Siku hizi ukikutana na kijana ana laptop, ring light na simu nzuri usidhani ni IT specialist… mwingine anakesha usiku kucha akihariri video ya sekunde 45 huku background kuna motivational music na...
Licha ya Serikali kutumia zaidi ya Sh50 bilioni kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli, bado mabasi hayo yanaendelea kushusha na kupakia abiria nje ya kituo na hivyo kukikosesha mapato...
Wakuu,
Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya...
Elon Musk ame attack Christopher Nolan ambague Lupita Nyong'o kama Helen of Troy
Lupita Nyongo
------------
The billionaire accused the filmmaker of 'defiling Homer' by choosing a Black...
Video za Pono ziliniharibu sana aisee katika ukuaji wangu
Ilipofika utu uzima na nikapataga pesa za fasta ikawa mdada yoyote mwenye makebo makubwa ni halali yangu
Ulikuwa nimwendo wa kula jagina...
Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano.
Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari...
Habari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa...
Shemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo.
Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni
Namuambia ajifunze ufundi anasema...
Katika mazingira ambayo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kutafuta ajira baada ya kuhitimu vyuo vikuu, mjadala kuhusu elimu ya ufundi na elimu ya juu ni muhimu. Lakini kilichofanywa na...
Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao
It can happen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.