MUNGU NA SHETANI ni sawa na HASI NA CHANYA

MUNGU NA SHETANI ni sawa na HASI NA CHANYA

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,573
Reaction score
3,968
Sijui kwanini dini zinasifia upande mmoja na kupinga mwingine wakati ili ulimwengu uwe sawa lazima kuwe na mivutano ya vitu viwili vinavyopinga
 
Bad enough shetani hajawahi kupewa na fasi ya kujitetea Kwa binaadamu yeye ametupiwa lawama tu , Pasipo kusikilizwa Ina shangaza sana
 
Kama hizo ndio fikra zako basi jua unasafari ndefu sana!
 
Back
Top Bottom