Kwa miaka yote tangu nakua nimekua nahudhuria hizi Ibada kwenye haya makanisa ila Hadi nakua mtu mzima na kupata akili nimegundua Kuna uongo mwingi sana na kupotezeana muda.
Usanii na utapeli...
Huu ni mtazamo wangu binafsi
Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu...
Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani.
Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku...
Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo.
Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril.
Swali langu,
1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana...
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo.
Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
Nimewaza tu jinsi matendo yao na maovu yao wanavojiona kuwa wapo duniani mpaka mwisho wa dunia.
Nawaza jinsi nguvu kubwa itakayotumika watu waonekane na majonzi wakati ukatili waliofanya wakiwa...
Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania.
Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa...
Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja.
Mtindo huu...
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam...
Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa...
wasaalam
tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo...
Wanachama wa JF na X ni wale wale na ni nadra kumkuta mtu akiwa hana izo apps kwa pamoja,pia maisha ya hii mitandao inakalibiana,sifa za watumiaji zinafanana,mwisho hua wote wawili huchukiwa na...
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni...
Leo tarehe 17 Mei 2026, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tamko zito ambalo linatugusa sisi Watanzania moja kwa moja. WHO imetangaza rasmi kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea katika...
Mimi nipo kahama mjini,nimeajiliwa katika duka la hardware, kuna mtoto wa boss wangu amemaliza kidato cha nne lastyear, amekuwa akinitaka kimapenzi,mfano tukibaki sisi tu nyumbani anakuwa...
Wakuu na wasilimu sana !
Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa).
Lengo la uzi huu kwa...
Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup.
Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu.
Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.