Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,213
- 1,638
Bei ya petrol katika soko la dunia imepanda. Kwa mujibu wa gazeti la The East African bei hiyo ilikaribia dola mia moja (100) kwa pipa. Hii inamaanisha kuna uwezekano wa bei ya petroli kupanda katika nchi zetu. Kama hivyo ndivyo tunapaswa kujitayarisha na kufunga mikanda kwani ikitokea hivyo bila shaka bei za bidhaa zitapanda. Mungu atusaidie