Usikariri kwamba kila ajira ni utumwa. Tumia akili

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Kuna watu wanalipwa mshahara mzuri tu alafu muda wa kazi ni mchache sana lakini walivyokuwa wapumbavu ati wanataka waonekane na wao wamejiajiri tu hata kama hamna wanalopata.

Ukijiona unapata mshahara wa kukidhi mahitaji kisha ukawa na mda wa kufanya mambo yako mkuu usiache kazi kabisa kula pote pote ufaidi dunia.

Sio unaacha kazi alafu unakuja kulia lia maisha magumu mtaani wakati mwingine ni mungu anakulaani.

Muda unao,pesa unapata kila mwisho wa mwezi na unauwezo wa kupangilia mishe zako au una mke MADHUBUTI MCHAPA KAZI mkuu mwachie biashara aendeshe(ikiwa ataimudu)kisha wewe endeleza maisha keingine.


ILA UKIONA MUDA HUO HUO MCHACHE UNAOTUMIA KAZINI KWAMBA UKIUTUMIA KATIKA ISHU ZAKO UTAKUINGIZIA ZAIDI YA MSHAHARA BASI HAPO USIRUDI NYUMA ACHA KAZI ELEKEZA NGUVU ZAKO HUKO.kinyume na hapo usimlaumu mtu.
 
Back
Top Bottom