SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,198
Nashukuru kwa huduma zenu pia kwa heshima na taadhima nipende kukushukuru sana ndugu(ofisa wa NIDA) niliyekutana nae Leo pale ofisi ni, NASHUKURU SANA MKUU KWA KUWA MUELEWA NA MUWAZI, MUNGU AKUBARIKI SANA!
Jambo lingine nipende kuwaomba vijana na watanzania wenzangu tujue kwamba dunia hii ni ndogo sana hivyo tusijione wajanja sana nyuma ya keyboard za PC au simu zetu kwa kutukana,kukebei au kudharau watu au ofisi za watu!!
USHAURI; KAMA UNATATIZO AU SHIDA NI VEMA KUTUMIA NJIA NJEMA NA YABUSARA KATIKA KUTATUA TATIZO HUSIKA NA SI KUTUMIA NJIA ISIYOFAA!!
MWISHO, Nashukuru kiongozi kwa ushirikiano na busara zako hapo mjengoni!!!!