Kusoma na kuwa mjinga

Kusoma na kuwa mjinga

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
wanabodi,
Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri enzi hizo tuko o-level

Sasa kilichonishangaza Leo ni kama mtu yule niliyemfahamu miaka hiyo si huyu ninayeongea nae sasa.

Yaani kiukweli uwezo wake wa kufikiri kuhusu maisha uneshuka sana .Yani kila nikijaribu kumshirikisha mawazo yangu kuhusu hizi mishe zetu za kusaka hela naona yaani kama hana wazo la kunisogeza yaani kabadilika sana kawa mweupe pee kichwani licha ya kuwa sasa ana MASTERS tens toka chuo kinachoheshimika sana hapa bongoland

Kiufupi ni kwamba jamaa kaongezeka kielimu lakini kazidi kuwa mjinga

Sasa ndo najiuliza hivi kuna ukweli kuwa mwanaume anavyozidi kusoma zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mjinga
 
Mkiwa wawili mnazungumza kuhusu nini!!?

Wewe unazungumza habari za ujasiriamali ambazo hana ujuzi nazo... unategemea nini?

Jifunze kuzungumza na watu kwa kadiri ya ufahamu wao, jinsia zao, elimu zao, na muktadha wa mazingira.
 
Si kweli, tatizo kwa maoni yangu ninaloliona ni huko alikoendelea pengine hakuwa na competitors wengi kuliko ilivyokuwa awali hivyo akawa anasoma as usual (kama ilivyoandikwa na wagunduzi wa elimu yake ndio imepelekea wewe umuone kawa mjinga kwa sababu hana elimu ya kujiongeza ila si mjinga)
 
Mkiwa wawili mnazungumza kuhusu nini!!?

Wewe unazungumza habari za ujasiriamali ambazo hana ujuzi nazo... unategemea nini?

Jifunze kuzungumza na watu kwa kadiri ya ufahamu wao, jinsia zao, elimu zao, na muktadha wa mazingira.
Usijitetee brother sikuzungumzii wewe
 
Akili nyingi hupunguza maarifa.

Hiki kitu nimekiona hata kwangu, jinsi nilivyozidi kusoma ndivyo nilivyopunguza uwezo wa kufikiri mambo ya kawaida.
 
Ni kama sijakusoma kwahiyo na wewe umekuwa mjinga baada ya kusoma sana
 
Unaweza ukamlaumu kumbe ndugu wamefanya yao .

Haya mambo yapo sio kila ndugu anapenda wewe ufanikiwe.
 
Sijawa mjinga, mambo madogo kidogo yananipiga chenga, hii inatokaana na ubongo kufikiria mambo makubwa zaidi ya uhalisia, ndivyo jinsi elimu yetu inavyotujenga, yaani haituelekezi kutatua matatizo yanayotuzunguka katika uhalisia wake, kwa hiyo unajikuta ukipoteza uwezo wa kudeal na mambo ya kawaida tu.
 
kweli inawezekana maana kwa kiwango cha ujinga nilichomkuta nacho sio bure yaani anaongea professorial rubbishes
 
Sijawa mjinga, mambo madogo kidogo yananipiga chenga, hii inatokaana na ubongo kufikiria mambo makubwa zaidi ya uhalisia, ndivyo jinsi elimu yetu inavyotujenga, yaani haituelekezi kutatua matatizo yanayotuzunguka katika uhalisia wake, kwa hiyo unajikuta ukipoteza uwezo wa kudeal na mambo ya kawaida tu.
Kwa hiyo na we we sasa hivi unawaza issue za global worming and population growth only
 
inawezekana uliyokuwa unaongelea hayajui lakini wewe umehitimisha vingine,ungezungumzia mambo aliyosomea hapo ungekuwa sahihi...
 
Marwa_J_Merengo hebu kwanza tuelezee wewe ujanja wako ni upi hasa wa kumshinda huyo jamaa mwenye Master
Maana umetokea mkoa wa mara ukaenda mikoa ya kusini ukawakuta wana desturi zao na maisha wanayaweza,
ulitaka awe mtu wa Fiesta kurap rap majukwaani?​
ulitaka anunue Bajaj awe mpiga Uber Dar​
awapige ng'ombe Mwibara apeleke Kenya​
Labda nmalizie tu kuwa hii dunia Mungu kamuumba kila binadamu na maisha yake, kufanya mishe mishe si kila mtu anapenda kujiweka katika misukosuko ya Polisi au Mahakama mwache apige kazi apate mlp wake wa kila siku
​
 
wanabodi,
Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri enzi hizo tuko o-level

Sasa kilichonishangaza Leo ni kama mtu yule niliyemfahamu miaka hiyo si huyu ninayeongea nae sasa.

Yaani kiukweli uwezo wake wa kufikiri kuhusu maisha uneshuka sana .Yani kila nikijaribu kumshirikisha mawazo yangu kuhusu hizi mishe zetu za kusaka hela naona yaani kama hana wazo la kunisogeza yaani kabadilika sana kawa mweupe pee kichwani licha ya kuwa sasa ana MASTERS tens toka chuo kinachoheshimika sana hapa bongoland

Kiufupi ni kwamba jamaa kaongezeka kielimu lakini kazidi kuwa mjinga

Sasa ndo najiuliza hivi kuna ukweli kuwa mwanaume anavyozidi kusoma zaidi ndivyo anavyozidi kuwa mjinga
Kwahyo mkuu kule mtwara ilikuwa unanichora tu ukaamua kuja kunianika JF.
 
Marwa_J_Merengo hebu kwanza tuelezee wewe ujanja wako ni upi hasa wa kumshinda huyo jamaa mwenye Master
Maana umetokea mkoa wa mara ukaenda mikoa ya kusini ukawakuta wana desturi zao na maisha wanayaweza,
ulitaka awe mtu wa Fiesta kurap rap majukwaani?​
ulitaka anunue Bajaj awe mpiga Uber Dar​
awapige ng'ombe Mwibara apeleke Kenya​
Labda nmalizie tu kuwa hii dunia Mungu kamuumba kila binadamu na maisha yake, kufanya mishe mishe si kila mtu anapenda kujiweka katika misukosuko ya Polisi au Mahakama mwache apige kazi apate mlp wake wa kila siku
​
Labda tu nikueleze ukweli kiwango changu cha ujanja kiko katika hali ambayo naweza kisema si ya kutiliwa shaka

Pia usiwe na mazoea ya kukalili kuwa kila Marwa anaishi mkoa wa Mara .Kuna wakina Marwa wengi tu wazariwa wa Dar,Arusha,Nairobi na hata US

Alafu isitoshe watu wa Mara hatuna historia ya kuwa wajinga historia inaonesha hivyo ukitaka kuprove angalia rais wa kwanza wa tz katoka huku,MTU wa kwanza kuwazidi nguvu watu wasiojulikana katoka huku na hata hapa dar tuna historia ya kushika nyazifa kubwa kubwa

Kiufupi watu wa Mara tuna maujanja ya kuishi uraiani,jeshini,vitani na hata jela
 
Kama hapa ndio umeonesha ulivyo empty kabisa

😂😂😂😂😂😂yaani ndio unayo akili hivi kweli wewe ndio mfuko kabisa.
 
Wajinga ndio huwa tunajitetea namna hii, mi nasemaje jamani mnaosoma someni tuu, mana!! Wajinga ndio tumelileta huku hili taifa, suala sio kuingiza pesa, mnaweza kutumia shule yenu kuchukua pesa zetu vile vile
 
Back
Top Bottom